Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,572
- 16,047
Matatizo yenu ni kuwa mna asili ya ubishi na kutokuelewa na ndiyo maana vipigo ndiyo haki yenu. Na lazima mnyooke tu!Kina Pole pole waliruhusiwa bila masharti. Bashiru alisema ukweli, mnabebwa na dola. Demokrasia hakuna.