Kwa hili la Segerea, CHADEMA ikiri imekosea

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,863
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.

Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?

Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujitambui wewe kilaza wa lumumba

In God we Trust
 
Ndo maana chadema wanaitwa nyumbu! Hoja yako wanaielewa vzuri sana. Sema tu ndo ivo, nyumbu ni nyumbu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.

Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?

Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Polepole alipoenda kutaka kumpokea Msigwa alimsubiria Airport? Halafu hawa waliokuja kumpokea Mbowe si walisimama nje ya geti na sio kwenye lango LA magereza?
Usituchoshe na upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabsa wakina Halima walikiuka hayo masharti ya magereza alafu wanatafuta huruma kwa watu.Kila mahala pana sheria zake.Walitakiwa waheshimu hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kuna sheria mjomba?Nchi gani hiyo inayoendeshwa bila ya matakwa ya wananchi kama tuna viongozi wa kweli wangetupatia Katiba mpya na tume huru ila wanatumia Dola kujinufaisha wenyewe na kujilimbikizia Mali bila kujali wananchi wanavyopata tabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni MJINGA
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.

Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?

Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbushane
Hivi Mashinji alipokelewa wapi alivyotoka gerezaji.
Polepole na mivieiti yake alifuata nn wakati Msigwa anatoka?
Sometimes tuwe wakweli na tusipende kupotosha potosha.
Na kingine tunatakiwa kujua ni, hao viongozi na wafuasi walikuwa eneo gani
1. Nje ya lango la kutokea ( Geti kuu)
2. Ndani ya geti yaani walivuka lango kuu?
Maana watu tumekuwa waimba pambio hata wakati usiotakikana.
Ni kweli kabsa wakina Halima walikiuka hayo masharti ya magereza alafu wanatafuta huruma kwa watu.Kila mahala pana sheria zake.Walitakiwa waheshimu hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka kwao halafu wakapata muda wa kuongea mbele ya wananchi ni kama kuwadhalilisha wakubwa, kwa hiyo pigapiga ya jana ni kwa ajili ya hasira tu!
 
Back
Top Bottom