Kwanza hakuna ubishi kwamba Dk Slaa ni mdini kama alivyo mtu mwingine kwa sababu amewahi kutumikia dini kwa ahadi kabla hajaamua kusaliti na kurudi uraiani nadhani kwa lengo la kuwatumikisha.
Pili, hakuna ubishi kwamba gazeti la Tanzania daima ni kampeni meneja wa CHADEMA na tatu hakuma ubishi kwamba kuna wimbi kubwa la masuala ya udini.
Ushauri wangu:
Kama kweli hawa viongozi wanataka kututawala na kuongoza nchi hii waache huu ujinga wa kupandikiza udini miongoni mwa watanzania.
Tunajua sana kwamba wewe ni diwani wa igoma uliyekiri kupewa fedha na CCM ili kusambaratisha chama chako cha zamani na kumvua umeya aliyekuwa meya kwa njia ya chadema
Tunakujua sasa hivi unasema unakula sahani moja na wenje kuhakikisha hasimami kwenye uchaguzi ujao
tunakujua sana upo mtaandaoni kuiangusha chadema kwa njia zozote kwa hiyo unayoyasema kuhusu Dr Slaa uliyemtukana sana huko nyuma hatushangai, lakini unakiri kuwa kuna udini sasa tuyazungumze haya matatizo na tuseme chanzo chake ndipo tutakapoweza kuyaondoa wote tunajua KIkwete aliingia madarakani kupitia misikiti na kuwabambikia wagombea wenzake kwamba ni wadini sasa tatizo limeota mizizi tupambane kuliondoa