Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

Status
Not open for further replies.
Hiyo ni sera ya CHADEMA kwani uongozi wao wa nyanda za juu kusin ni wakiaskofu kwa hyo upo sahihi mbna cjackia sheikh fulan?mtasema hawajasoma maaskofu ndo wamesoma eti?to hel with ur cdm dr slaa acha kuja kuombaomba mbeya nenda mosh
Superbrand si kwa mema peke yako ndo maana sikushangai! Kwani mtu akiitwa SHEIKH ndo maana kwamba yeye ni mwaislamu safi kuliko waumini wake au?! Hayo yako CCM ambako akiteuliwa mkristo mmoja,anateuliwa mwislamu mmoja ETI mnafuta udini! Hivi ni lini akiteuliwa MLUTELI,keshoye atateuliwa MKATOLIKI,keshokutwa M-ANGLIKANA,afuatiye M-PENTEKOSTE, halafu M-SABATO afuatae M-BABTISTI ili kuhakikisha kila dhehebu lina mtu?!Ni lini akiteuliwa M-SHIA,atafuatiwa na M-SUNI na MUJAHIDINA ili kufuta upendeleo wa dhehebu moja?Vipi kuhusu Ma-BOHORA, Kanisa la Watakatifu wa Siku za Mwisho wao watampata mwakilishi lini ndani ya serikali?!Vipi sisi tusio na dini tutapata lini uwakilishi?! Mie nitafurahi kama nchi hii itaongozwa na watu wenye dini moja,dhehebu moja au wasio na dini kabisa ilimradi wawe tayari kutimiza matakwa ya wananchi pamoja na kuwa na sifa stahiki za uzoefu na taaluma badala ya affirmative action kwa kigezo cha dini-Ndivyo anavyofanya RAIS WETU!
 
Nchi zinazo ongongozwa kwa mfumo wa kidini duniani ni za Kislam tu, hizo ambazo ni za Kikrsito wala hata hayo maadili ya Kikristo sio lazima kiongozi awe nayo, nchi pia zinazo ongozwa kwa Kislam ndizo zinazoongoza kwa machafuko, kwa ufupi, huwezi kutofautisha fujo, chuki na mauaji na Uislam.

Hivi Al Asad si ni mwislam na nini anawafanya Waislamu wenzie? jumuia ya kimatifa kama Marekani ndizo ambazo zinajaribu kumshawishi Al Asad aache kufanya mauaji ya kikatili, mbaya zaidi Iran, nchi ambayo ndio mfano bora kwa Waislam duniani, ina support mauaji anayoyafanya Al Asad, narudia, huwezi kutofautisha chuki, fujo, mauaji na Uislam!

Duu mawazo yangu tu, komenti Kama hizi tuwe tunaziandika na kuzisoma mawazoni Kwetu tu! Zinazidisha Hali tete ya udini hapa nchini kwetu. Tusiwe Kama wanasiasa wanakijia wanachokitafuta.
 
mkuu, unalitetea sana gazeti la Tanzania Daima na Dr Slaa wakati wanahamasisha mpasuko katika hilo. Dr slaa ni mchochezi wa udini na anajua huo ndo mtaji wao. wanatumia vibaya zile takwimu za uongo kuwa wakristo ni wengi kuliko waislam. anajua kuwa akitumia gia ya udini atashinda. huo ni ujinga wa kutisha na mtu kama huyu akemewe kwa nguvu zote
na hayo ya al nuur je?af leta ushahidi ambao ni wa KWELI kabisa kwmba yeye ndo analeta mpasuko wa kidini af compare na yule ambye yupo madarakan.tatizo hamtakagi kuambiwa ukwel
 
Tangu mwaka 2010 haya yameanza kuibuka tusilete udini kwny mambo yanayogusa wananchi wote..tuache hayo tunakoelekea siko
 
Tatizo la Waislamu na Waislamu wanatetea Mungu badala ya kumwomba Mungu awatetee,Wanampgania Mungu badala ya kumwomba Mungu awapganie,hap zote zinazotokea duniani zikiwahusisha Waislamu na Uislamu wenyewe,chunguza.
 
Mbona 2005 Askofu Kilaini alitamka kwamba Kikwete ni chaguo na Mungu, CCM na wapambe wakachekelea na hakuna aliyekemea udini?! CCM 2005 alisema CUF ni chama cha kidini. Je CUF ni wadini? Nani aliweka ilani ya Mahakama ya Kadhi mwaka 2005 ambayo ilianzisha fukuto la udini hapa nchini? CCM ndiyo imepandikiza mbegu ya udini na sasa inavuna ilichopanda. Kwa kimombo CCM's "chicken has come home to roost!"
Wema uwe nawe mkuu,
Mara nyingi unatenda mambo bila kujali au kufikiriya Just kwa pupa, hatimaye unajikuta tija ni JINAMIZI mbele yao!!
Hakika mchezo wa CCM ulitumia dirty game yaani siasa chafu miaka mingi iliyopita ilimradi ifikie malengo yake.
Sasa walijisahau kuwa waTanzania wa LEO sii wale watanzania wa miaka 60,70,80,90 nk.!! jamenii kuna usemi usemao
" Uchawi umemgeukia Mchawi "
Hao waCCM walikuwa wanawayumbisha waislamu wanyonge siku hizo yaani Usiku wapo nawao,mchana Wanayao.!!
wandugu samahani ukweli unauma.
 
The more we talk about this saga the more it roots into us. most of the threads under such kind of posts drill out the hate, ignorance and most probably sarcasms. at least if we all do not agree about what these politicians bring to us, we should stand firm and say it as one thing because this outrage is of no joke when it burst out. we stand together regardless of our political affiliations against this saga!
 
Kikwete anaongoza Nchi kipopo popo hana msimamo wala hana uwezo wa kufanya maamuzi magumu hata mambo ambao hayapo ndani ya KATIBA ya Nchi (kama suala la kuchinja Rais yuko kimya na akiongea anaongea utadhania ni mratibu Elimu kata) Yeye ndiye mwenye say anawaacha Akina Ndikilo,Dialo,Wasira na Pinda wanavuruga Nchi, Hata lini Nchi ikaongozwa kwa mazoea na taratibu za kale? Yeye ni baba wa familia (TZ) anakula buyu kwa mambo nyeti,tumweleweje sasa? JK ni mdini sana TU. CCM ishamfia mikononi mwake na asipokuwa makini mpaka tufike mwisho wa Utawala wake Nchi itakuwa vipande vipande.
 
Dr Slaa ijapokuwa una uhuru wa maoni yako ila nadhani kila mmoja wetu anakuwa anatafakari ya nini anachokisema akiwa mbele za hadhara za watu. Labda nikuulize kwenye maandishi mekundu haya uliyasema kweli? Kama ni kweli sasa nakuuliza swali jengine unavyovithibitisho walifanyaje kuendesha hizo kampeni huko misikitini? Kama ni kweli mbona kuna misikiti mengine waumini hawakusikia hizo kampeni sasa tuambie hiyo misikiti iliyofanyiwa hizo kampeni ni ipi? Na kama CCM walifanya kampeni misikitini Chadema mlifanya kampeni wapi? Hauoni kama haya mawe unayorusha yanakurudia mwenyewe Dr. Tafakari!
 
Nchi zinazo ongongozwa kwa mfumo wa kidini duniani ni za Kislam tu, hizo ambazo ni za Kikrsito wala hata hayo maadili ya Kikristo sio lazima kiongozi awe nayo, nchi pia zinazo ongozwa kwa Kislam ndizo zinazoongoza kwa machafuko, kwa ufupi, huwezi kutofautisha fujo, chuki na mauaji na Uislam.

Hivi Al Asad si ni mwislam na nini anawafanya Waislamu wenzie? jumuia ya kimatifa kama Marekani ndizo ambazo zinajaribu kumshawishi Al Asad aache kufanya mauaji ya kikatili, mbaya zaidi Iran, nchi ambayo ndio mfano bora kwa Waislam duniani, ina support mauaji anayoyafanya Al Asad, narudia, huwezi kutofautisha chuki, fujo, mauaji na Uislam!

We bana na hoja zenu za kiparokia/CDM. Alieingia akachafua Somalia ni nani? Alieingia Afghanistan akachafua ni nani? Alieingia iraq akachafua nani? Anaetaka waasi wapewe silaha saivi nani? Yule Askari alouwa wa afghan wanawake na watoto na wazee 17 ni jeshi wa nchi gani? Lile taifa linalomiliki vinu vya nuclear duniani vingi ni nchi gani? Yule aliewauwa waisrael kule ujerumani alikuwa dini gani? Yule aliebaka wanawake watatu kule USA ni dini gani?

Yani ukitizama huu ukiristo na haya matendo basi ni kama mapacha vile.
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya muumini wa dini na mwanasiasa? Mdini ni mtu wa namna gani? Mimi James nikimwambia Bakari "wewe ni muislam nakuwa mdini?"
 
Kwanza hakuna ubishi kwamba Dk Slaa ni mdini kama alivyo mtu mwingine kwa sababu amewahi kutumikia dini kwa ahadi kabla hajaamua kusaliti na kurudi uraiani nadhani kwa lengo la kuwatumikisha.

Pili, hakuna ubishi kwamba gazeti la Tanzania daima ni kampeni meneja wa CHADEMA na tatu hakuma ubishi kwamba kuna wimbi kubwa la masuala ya udini.

Ushauri wangu:
Kama kweli hawa viongozi wanataka kututawala na kuongoza nchi hii waache huu ujinga wa kupandikiza udini miongoni mwa watanzania.
hatuwezi kukubali kutawaliwa na huyo mzee mdini na mropokaji.yeye auzoee tu huo mshahara wa ubunge wanaompa.kamwe hawezi kaa magogoni .
 
UDINI UPO...ILA TUACHE MAMBO YA DINI JAMANI TUKOMAE UPANDE WA KUWABANA HAWA MAFISADI,,,,:angry:
 
Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.

Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.

Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.

Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.

Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.

Acheni kujadili watu, acheni uongo. Acheni udini.

Hivi hapa Tanzania ni kitu gani unaweza kufanya kwa kutegemea watu wa dini moja? Biashara? Kazi? Fungukeni kifikra.

Itakufaidi nini kiongozi akiwa mkristu au mwislam na huku uwezo wake ukawa ni wachini?

Hoja hizi za kipumbavu zitaisha lini??? Nchi iongozwe kwa sheria na taratibu na sio "personal feelings"

CCM ilikosea some where na hili ni lazima wakubali, ila sio shida kinachotakiwa ni kuinuka na kutembea.

Usipokiri makosa watu wataendelea kukusakama tuu. Kama udini uliletwa na Slaa wao serikali walifanya nini ??? Tuacheni propaganda,

"UKWELI NI UKWELI HATA KAMA HAKUNA ANAYEUTENDA NA UWONGO NI UWONGO HATA KAMA WOTE WANAUTENDA"
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya muumini wa dini na mwanasiasa? Mdini ni mtu wa namna gani? Mimi James nikimwambia Bakari "wewe ni muislam nakuwa mdini?"
hahaha hujui maana ya udini?angalia hapa chini.

Siraa:>''baba askofu salama,vipi baba askofu uchaguzi ndo huu umefika mnanisaidiaje wadau'.
Baba askofu-''relax ,tumeshaamua huyu jamaa awe a one term presdent,tutahakikisha anaanguka kwa kuhakikisha waumini wetu hawampi kura..hivi sasa tumepanga kila siku kutoa waraka wa kuikandamiza serikali yake ili waumini wetu waone hafai tena kupewa kura.kwahiyo tukifanikiwa utatusaidia vipi?.
Sraa>aaah,usiwe na wasiwasi baba askofu,kwanza nitaongeza maradufu fungu la MOU,nitahakikisha madaraka yote ya juu nawapa watu wetu,viherehere kama zito nitampangia kazi akae balozi pale bujumbura,suala la kuchinja nitaruhusu waumini wetu kuchinja,na hao jamaa wakileta zao watakumbana na dola,mihadhara ya waislamu marufuku,mtakacho sema mimi ntawafanyia.'
Baba askofu,>''basi consider it done.huyu hapati kura za waumini wetu hata moja,wewe utaona'.

Huo ndo unaitwa udini mkuu.
 
Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.

Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.

Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.

Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.

Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.

Huyu pia ni Great Thinker???!!!
 
Dr. Slaa ni zao la kanisa, mfuasi wa kanisa, yupo daima kuhakikisha maslahi ya kanisa katoliki yanafikiwa kwa gharama yeyote, Ameapa kutetea maslahi na ukuaji wa kanisa katoliki HIVYO kamwe hawawangusha wakatoliki; Siasa kupitia Chadema ni daraja la ustawi wa kanisa Tanzania. Ikibidi anawatumia waislam; Zito na Arfi kwa nia ya kupata kura za waislam wakati huo huo ruzuku ya chama inaongezeka, yeye akiwa ni mfaidikaje mkuu wa ruzuku ya chama
 
CCM ndio wadini, walilalamika kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 kuwa kuna udini bila kutaja ni nani anauleta huo udini, lengo la malalamiko yale ilikuwa ni kuwapumbaza watu wa dini ya mgombea wao ili aonekane anaonewa na hivyo kushindwa kwa sababu ya dini yake.Matokeo ya huo mpango ndio haya tunayoyaona sasa hivi hapa nchini, watu waliowapumbaza wameendelea kupumbazika bila kujua kuwa ule ulikuwa ni mpango wa kwenye uchaguzi tu na si vinginevyo, wanaendeleza udini ulioanzishwa na CCM, Dr. Slaa mnamsingizia bure, wadini wanajulikana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom