Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

Status
Not open for further replies.
Good day to tanzanians and God bless all mankind,
Lord have mercy, Tanzania will remain in peace as paradise in this earth. amen
Be optimistic this recent developments of udini crisis started centuries ago in different scales ( from ukoo, manyumbani, maofisini, mashuleni,vyuoni,serikalini hadi huko UN ) Most important is the drums of PROPARGANDAs. the conflicts of Civilization between West and East are covering the entire world, thus making hard to give justice to the citizens.
With highiest regret blaming specific side is just trying running away from the truth... it is impposible to cover the Sunshine with the palm of your hand and say thers no light.!! THE PROBLEM IS INSIDE THE HOUSE " NEC,GOVT;BUNGENI. THE CONCERN DIGNITARIES should check the following:-
JUSTICE of both citizens (equally).
DIRTY POLITICS during CAMPAIGNS.
MEDIA BRAINWASH COVERAGE & etc.
I trust and believe local innocent raia are the victims of this dirty politics and wanaSIASA wetu hukimbiliya two main/major places for thier supports yaani Makanisani and Misikitini.. poor people wanajikuta DESPERATE. Baadaya politicians kukidhii matakwa yao huwa sahau wote waliyowaahidi!!
" Don't forget the desperatation make desperate people do desperate things"

Tanzania will never go to hell and it will never DIE. Long live peaceful Tanzania.

Good luck UTAIFA kwanza...

Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.

Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.

Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.

Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.

Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.

Anatapata baada ya kujua njia aliyotumia katika kampeni 2010 imeleta madhara kwenye taifa sasa anataka kumtwisha raisi Kikwete.
 
Nchi ikianguka hii hakuna atakayepona hasa sisi maskini... Hawa kina Dr. Slaa na Mbowe wana fedha watahamia nchi nyingine

Sema "mm maskini" usidhani kila mtu ni maskini kama wewe! kama una umaskini wa kipato na mawazo huo ni wa kwako, usipende kujumuisha wengine!
 
Waraka wa Pengo haukumtaja Slaa, ulisema 'Chagueni viongozi waadilifu' labda mlihisi unamkampenia Slaa 'kwasababu ya uadilifu wake'. Ni hisia njema tu!.

Lakini lingine, hivi matukio yanayoendelea nchini leo nani anayalea? Kama kikwete si mdini na anamkono wake kwenye matukio haya ya 'kuua na kukandamiza wa kristo' mbna hakuna anaekamatwa? Mapadri wanauawa, mäbomu yanalipuliwa, wachungaji wanachinjwa, mihadhara ya chuki dhidi ya 'wakristo' inaendelea kila kukicha lakin hakuna kinachofanyika.

Nadiriki kutamka, mfadhili wa haya yote ni Kikwete, kwani asingekuwa anafadhili au anahuzunishwa haya mambo tusingeyaona wakati wa utawala wake! Ni utawala upi tumeshuhudia uislamu ukipendelewa kama huu wa Kikwete? Je, huo si udini na upendeleo?...
 
Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.
JK mwenyewe kila mara anashiriki kufungua Makanisa au kushiriki misa za Wakristo! PRESIDENT KIKWETE WITH ARUSHA CLERGY IN PRAYERS MAY 7, 2013 - YouTube sasa kama JK ni mdini sidhani kama angethubutu kufanya haya!
 
Mzee mtei, Mzee slaa ni wadini sana ... wanachukia sana waislam ... mchungaji msigwa ndo usiseme kila siku kuisemea zanzibar bungeni as if ni mbuge wa visiwani ,....

CDM ni janga la kitaifa
 
Mtu ambaye ni mdini ni yule ambaye anatumia dini fulani kupata kitu fulani, anatumia nafasi aliyonayo kuwapendelea watu wa dini fulani, anatumia uwezo wake/nafasi yake kuwadhulumu watu wa dini fulani au anafanya mobilization za kijamii kwa misingi ya upendeleo au ubaguzi wa kidini.Mtu yeyote mwenye tabia hizi ni mdini bila kujali ni nani. Wala mdini si mtu anaye kemea tabia miongoni mwa hizo zilizotajwa hapo juu.Kila anayedhani yeye ni mtu mwema na wakupigia mfano; na awe wa kwanza kujiepusha na tabia tajwa hapo juu.
 
Waraka wa Pengo haukumtaja Slaa, ulisema 'Chagueni viongozi waadilifu' labda mlihisi unamkampenia Slaa 'kwasababu ya uadilifu wake'. Ni hisia njema tu!.

Lakini lingine, hivi matukio yanayoendelea nchini leo nani anayalea? Kama kikwete si mdini na anamkono wake kwenye matukio haya ya 'kuua na kukandamiza wa kristo' mbna hakuna anaekamatwa? Mapadri wanauawa, mäbomu yanalipuliwa, wachungaji wanachinjwa, mihadhara ya chuki dhidi ya 'wakristo' inaendelea kila kukicha lakin hakuna kinachofanyika.

Nadiriki kutamka, mfadhili wa haya yote ni Kikwete, kwani asingekuwa anafadhili au anahuzunishwa haya mambo tusingeyaona wakati wa utawala wake! Ni utawala upi tumeshuhudia uislamu ukipendelewa kama huu wa Kikwete? Je, huo si udini na upendeleo?...
mkuu sijapata point yako. uislam unapendelewa kivipi? halafu labda pia ungenielewesha kidogo, nini hasa lilikuwa kusudio la ambroce kwenda kuwaua waumini wasiokuwa na hatia kanisani? au ndo kutafuta jastification ya udini? chukulia kwa mfano asingeonekana na kushikwa ingetafurikiaje? we have to be serious mkuu.
 
Huu ndiyo umbeya.

Uliposema kuwa, 'mimi mwenyewe kwa macho na masikio yangu nilishuhudia', nikapatwa na shauku ya kusoma nikitegema ulichosikia na kuona kwa Dr. Slaa na maaskofu uliowataja lakini nilivyoendelea nikaona ni upuuzi mtupu maana hakuna hata.sehemu moja uliposema hayo uliyoyaona na kuyasikia. Huu mdiyo unaoitwa umbeya!!

Kama ulisikia na kuona, sema kwa uwazi kwenye mkutano upi Dr. aliwaomba maaskofu au wakristo wampe kura yeye kw.kuwa ni mkristo. Tueleze pia ni maaskofu gani waliwaambia wakristo wa wapi kuwa wamchague Dr. Slaa kwa sababu ni mkristo mwenzao.

Dr. Slaa kwanza hakusema kuwa JK aliomba kura misikitini bali alieleza kuwa JK ni mwanzilishi wa siasa za udini. Kuwa mdini siyo lazima utumie dini yako bali ni kutumia njia yeyote ile ili waumimi wa dini fulani wakuunge mkono. Hata kama ukiwa mkristo lakini ukawakusanya mashekhe na kuwaambia mkinichagua mimi nitawajengea misikiti au nitahakikisha mnapata mahakama ya kadhi, wewe ni mdini.
 
Je na CCM walioweka Ahadi ya kuwapa Waisilamu Mahakama ya Kadhi haukuwa Udini-chini ya Uenyeketi wa Jk.Leo hii watu wakisema Jk mdini mnalalama.

Kama mwana CCM ulichukua hatua ipi kupinga jambo hilo.
 
Hata kama ni kweli alikuwa mdini na aliyoyafanya ni kweli, busara yako iko wapi?

Ni lipi lengo lako hasa DR W Slaa kwa taifa hili?

DR W Slaa jirekebishe before it is too late. Kwanini unaweka chumvi kwenye kidonda?
 
Mimi siamini kama JK amekuwa akiupendelea uislam kama dini na kama taasisi bali amekuwa anawapendea marafiki zake ambao ni waislam na wakristo pia. Waislam kama raia wamekuwa na maisha magumu kama watanzania wengine.

JK na serikali yake kutochukua hatua kali dhidi ya wachoma makanisa na washambuliaji wa mapadre na wakristo ni uzembe na udhaifu wa seriKali kama ilivyoonesha karibu katika mambo yote.
mkuu sijapata point yako. uislam unapendelewa kivipi? halafu labda pia ungenielewesha kidogo, nini hasa lilikuwa kusudio la ambroce kwenda kuwaua waumini wasiokuwa na hatia kanisani? au ndo kutafuta jastification ya udini? chukulia kwa mfano asingeonekana na kushikwa ingetafurikiaje? we have to be serious mkuu.
 
Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.

Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.

Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.

Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.

Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.

Cocaine at work. Subiri CDM 2015 ichukue nchi mtaomba Uhamisho au kukimbia wenyewe.
 
sure mkuu. tatizo lao wanadhani kuwa bakwata ina wafuasi wengi. wafuasi wa bakwata ni wachache sana. misikiti mikubwa uliyoitaja ndo wenye ushawishi mkubwa wa kidini na ndo ina wapiga kura wengi. kwa waislam wa misikiti hiyo wanamwona jk kama si mwislam safi hivyo huwezi kumwita kama ni mdini. tofauti na upande mwingine ambao huandaa nyaraka na matamko kwa niaba ya wote wa dini hiyo
 
Cocaine at work. Subiri CDM 2015 ichukue nchi mtaomba Uhamisho au kukimbia wenyewe.

kwa hiyo CDM ikichukua nchi ndo waislam watafukuzwa? khaaaa. sina imani na dr slaa na sina imani na machadema wote. chama gani cha kibaguzi hiki
 
Ukweli ni ukweli tu na tuache usemwe hadharani.

Ni jambo la kweli na la wazi kabisa Rais Jakaya Kikwete ndio kinara wa juu wa kueneza udini hapa Tanzania.
Na amekuwa akifadhiri na kuunga mkono vikundi vya kiislam misikitini ili vipite nchi nzima viineze siasa za kidini tena misikitini na kuwafadhiri wanaCCM wengi kuzunguka nchi nzima kusema CHADEMA ni chama cha kikristo, kichaga na kaskazini.

Ubaya wowote uliotufanyia Kikwete sisi watanzania tunaweza kuusahau lakini mbolea ya Udini aliyoimwaga hapa Tanzania hatutaisahau vizazi na vizazi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom