Haendi popote huyu, ni mbinu zake za kuamsha interest ya watu tu! lol
duh!! mbona roho ngumu hivyo lakini..nilijua nina ndugu wengi humu JF kumbe maadui kibao kha...sasa RIP ya nini tena.
kumbe ndo mana hukumkabidhi mtu mikoba....karibu sana...ndugu yangu unafikiri naweza tena kuishi bila JF..i think unaweza ku imagine jinsi nitakavyo suffer nakuwamiss rafiki zangu na wadau wote humu
Mi sijamzingua bwana. Naona karudi, muulize mwenyewe
Nilimwambia akitaka nimsikilize aongee na familia kwanza 🙂
we anti mkali huyo anafinya kama nini..siku ya kwanza nilienda kimya kimya akanifuma nilifinywa si mchezo hata sina hamu. sasa hivi mission ni kumuiba ndio maana naenda kujichimbia kwa mganga.nikirudi hapa ka namsukuam mlevi vilewee nenda kwa wazazi wake
anataka uende kwa anko wake au anti ADI
atakusamehe, na wala ugoni sioni kama kajali sana.
ila nafikiri nitazoea tu..kwema lakini..nataka uwe mlinzi nikirud unipe ripotikumbe ndo mana hukumkabidhi mtu mikoba....karibu sana...
Mi nkakiuliza kweli SI ninayemjua akae miezi 9 bila Jf?
Duh
nimemwambia aende kwa anko au anti ADI.
Ngoja nimsikie atasemaje.
Unaona mambo yake? Ndio maana nilisema bora aende, labda atapata wakukubali hizo.we anti mkali huyo anafinya kama nini..siku ya kwanza nilienda kimya kimya akanifuma nilifinywa si mchezo hata sina hamu. sasa hivi mission ni kumuiba ndio maana naenda kujichimbia kwa mganga.nikirudi hapa ka namsukuam mlevi vile
Naomba kazi ya kukulindia mali zako, maana naona watu wameanza kuzitolea machoila nafikiri nitazoea tu..kwema lakini..nataka uwe mlinzi nikirud unipe ripoti
duh!! mbona roho ngumu hivyo lakini..nilijua nina ndugu wengi humu JF kumbe maadui kibao kha...sasa RIP ya nini tena.
hadi upite kwenye usaili.na uyapite majaribu..si unajua utakacholinda si haba ..mwenye tamaa hatopewa ...Naomba kazi ya kukulindia mali zako, maana naona watu wameanza kuzitolea macho
ngoja ni m pm PAWundugu wetu uko pale pale kaka, miezi tisa ni mingi ati, wengine wanafia leba, wengine kwingine, ndo maana nimekutakia RIP, just in case...
ngoja ni m pm PAW
Unaona mambo yake? Ndio maana nilisema bora aende, labda atapata wakukubali hizo.
OK GUYS .ME I WILL MISS everyone.
Usijali we nambie unataka makoloni gani unataka yawe salama???ila nafikiri nitazoea tu..kwema lakini..nataka uwe mlinzi nikirud unipe ripoti
Hahahaahh! Unamtafutia ban jamaa.......msamehe.ngoja ni m pm PAW
Nenda usije ukachelewa check in time.