Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

Halafu brame ya watoto kwa walimu badala ya ninyi na mdada wenu .
 
Usipo oa ukawa ana mpenzi tu hayo uliyosema hayatamkuta?
 
Ukishaoa au Kuolewa ukubali yote! Katika ndoa tunalindana lakini hatuchungani wala kufuatiliana!
Ni swala la kuaminiana tu!
 
Hii topic ngumu sana mkuu!

Kwa mtazamo wangu, ili mwanamke asiweze kuwa na mahusiano na mwanaume inabidi asiwe na ukaribu na wanaume. Akiwa karibu tu na wanaume udhaifu wake uwa wazi kwani huwa hawana uwezo wa kuficha udhaifu wao hasa stress. Wanawake wanapenda uonyeshe kumjari, uthamini uzuri wake, umsifie, mpe grade ya juu kulinganisha na wengine, na umpatie majawabu ya shida zake.

Ukiwa Boss unanafasi kubwa zaidi ya kuwa mzinzi kwani unakuwa na fursa ya kujua weakness za wanawake na kuwapatia suluhisho la changamoto zao. Ukimpa tu mwananmke safari tatu za maana, yeye mwenyewe anajileta kama mbwa kwa chatu.

Watu wanaopenda kurukia kila mwanamke wakijua tu udhaifu wa mwanamke, amekwisha. Haijalishi ni Hg, Profesa, Waziri au Gigi pesa, akiwa tu karibu naye, ana fursa ya kupafikia pale ambapo panafichwa.

Kutokana na udhaifu huu ndio maana shamba Boi alitembea na the best CPA, mlinzi alimla mtoto wa naniii, mlinzi alimla mke wa Zumaa na miss Tz mwenye scandal anapitiwa na watoto. Just ukaribu tu kila kitu kinafunguka.

Kwa kutambua hilo, Waarabu na washirazi huwa hawaruhusu mwanaume yeyote ambaye siyo ndugu wa damu awe na ukaribu na mwanamke.

Hivyo siyo kazini tu, hata sokoni nako ni shida. Pale kisutu sokoni na namanga mabuchani wana tambaa sana na wanawake vigogo. Wanasema nyungeza tu ya nyanya au nyama wanafanikisha. Hospital daktari akimsaidia tu asikae kwa foleni mara kwa mara anapewa. hivyo ni swala gumu.

Ingawa wapo baadhi ya wanawake hata uwe na ukaribu naye vipi anajirinda na atoi, wanalinda utu wao kuliko kitu chochote.

Mungu atusaidie tuishinde dhambi hii
 
Mwanamke kama mgongeshaji hata akikaa home 24/7 anagongwa tu! Tumewaona wengi na tumewagonga sanaa!
 
Sasa wadada wasiojiheshimu wa kazini kwako ndio ujumlishe wote? Kama umeoa mwanamke wa hovyo ataliwa hata na jirani yako tena ndani mwako humo humo unakolala nae siku zote. Usikariri.
 
Hakuna cha msimamo wala tabia ya mtu, wanawake wote duniani wanafanana kama ilivyo kwa wanaume tunafanana kitabia. Mwanamke yeyote akijengewa mazingira tu kwisha. Wewe mwenyewe shahidi jinsi ulivyompata mke/mpenzi wako unajua.
Hapa umetuchana ukweli.
 
Akiwa nyumbani ndio anakuwa na muda wa kutosha wa kufanya hayo mambo kama amekusudia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…