Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

Hivi zamani yetu palikuwa na watu waliitwa vihiyo kutokana na kihiyo fulani Je siku hizi waitwejee?
 
Kwa mwandiko wako huo, utawezaje kukataa kuwa unatumia cheti feki?
Povu la nini lote hilo..?
Daud Bashite, toa vyeti naaniiii.!!

Njoo unikague uvione kwa raha zako, nitasimama juu ya mwembe ukifika niambie.

Pole kwako na kudandia wanaomsingizia Mkuu wa Mkoa wa Dar. Pole kwa kuvutwa kama hamjifahamu na wenzako wengiiiii
 
Kila kona upo, shobo nyingiiiii...au beki tatu wake wewe

Sasa nisiwepo kwanini, mnani quite mara zaidi ya mamia kwa mamia ndio nisiwajibu?

Mkitaka msinisome tena, mngekuwa mnapita post zangu kimya kimya.

Ona sasa nimekujibu utanikuta tena. Na huwa nasoma quotes chache chache kama mfano kama 40 naacha narudia nikiamua kuendelea najibu nachojisikia. So uhuru ni wangu kama upendi ukiona Cocochanel rusha macho mbaliiiiiii

Makonda oyeeeeee
 
Yani bashite anakukuna wewee . hoyeeee

Ulimsaidia kunifahamu mimi au? Nauliza kwasababu sifahamiani naye.

Tabu wananchi nyie wengi mnapenda kudanganywa na kufata maneno ya waongo kama mlivyopatikana juu ya Mh. Makonda na mnazidi kupatikana. Poleni, mnasikitisha.
 
Unajitahidi sana kumkingia kifua DAB, utakuwa mtu wa karibu sana na huyu jamaa.

Mimi sio mtu wa karibu nae na hatufahamiani.

Hakuna linaloniomyesha yeye amefanya anyosakiziwa hadi leo, na hivyo poleni mnaofata mkumbo wa kudanganywa na kumaliza muda wenu kushabikia kisa wengi mara wivu, uvivu, tamaa, madawa etc
 
"Wengi walioko kwenye orodha iliyokabidhiwa na Makonda ni waathirika wanaohitaji msaada wa matibabu na sio kuwafunga, tumepata watuhumiwa 5 tu wa dawa za kulevya" by Kamishna Siang'a 06 March 2017.
f014f05440eb3fc37f70d03871e9e7c1.jpg

So iweje? Kwani hawajawataja waliowauzia na waliowauzia na waliowauzia na inaendelea. Sasa hivi nendeni kwa yule Mkurugenzi mkamuulize maswali.

Mlikataa asiendelee kwa makelele, sasa mngekaa kimya si mngeyaona hayo yanapopanda kwenda. Alipoanzia alifanya jambo jema na kutangaza wengi wamejua from wazazi to watoto.

Hongera kwake Mh. Makonda, ni jembe la taifa amefungua wengi sana juu ya issue ya madawa ya kulevya na mengineyo.

Hiyo picha naipenda sababu ni picha ya kuonyesha anatoa chozi la furaha kwa kushukiwa na roho mtakatifu na kuendela kumshinda shetani tena na tena. AMINA
 
Sasa nisiwepo kwanini, mnani quite mara zaidi ya mamia kwa mamia ndio nisiwajibu?

Mkitaka msinisome tena, mngekuwa mnapita post zangu kimya kimya.

Ona sasa nimekujibu utanikuta tena. Na huwa nasoma quotes chache chache kama mfano kama 40 naacha narudia nikiamua kuendelea najibu nachojisikia. So uhuru ni wangu kama upendi ukiona Cocochanel rusha macho mbaliiiiiii

Makonda oyeeeeee
Basi mamiiiii, nmekuelewa......mi naona wivu mtt mzur kama ww unamshobokeaaaa daud bashiteeeee
 
Hoja ya madawa imekuwa hoja ya against makonda.
Bahat mbaya kuna nyumbu zinatumika indirectly but nyumbu ni nyumbu.
 
Kuna watu sasa hv hawapo kazini kwa sababu ya kuwa na vyeti vya kughushi lakini walikuwa ni wachapakazi wazuri Sana.... Sheria ni msumeno sasa unakata kuelekea nyuma
Huo ushahid mbona hautoki, huyo gwajima c anachet cha makonda c aonyeshe na athibitishe kuwa exatly makonda ndie bashite.
 
Njoo unikague uvione kwa raha zako, nitasimama juu ya mwembe ukifika niambie.

Pole kwako na kudandia wanaomsingizia Mkuu wa Mkoa wa Dar. Pole kwa kuvutwa kama hamjifahamu na wenzako wengiiiii
Kwa hiyo anasingiziwa kuwa alitumia cheti cha mtu mwingine siyo?
 
Ulimsaidia kunifahamu mimi au? Nauliza kwasababu sifahamiani naye.

Tabu wananchi nyie wengi mnapenda kudanganywa na kufata maneno ya waongo kama mlivyopatikana juu ya Mh. Makonda na mnazidi kupatikana. Poleni, mnasikitisha.
Sasa mtu hufahamiani nae kinachokufanya uone tunamsemea uwongo Kitu gani? Umejuaje kama ni uwongo hajatumia jina la mtu?
 
Lakin hiv akionesha vyet afu vikawa ni vyake kwel ni nin kitatokea
Aonyeshe tu, kwani wewe kazini ukiambiwa peleka vyeti na ikaonekana ni vyako huwa kinachotokea ni nini endapo kama walikuwa na wasiwasi na wewe?
 
Back
Top Bottom