Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
[emoji23] [emoji23]Hata mimi nimewaza hivyo jirani, maana hiyo sauti ilivyotoka eti kisa kufuli [emoji28] nakosa majibu
Mi nilijua amegusa maeneo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]Hata mimi nimewaza hivyo jirani, maana hiyo sauti ilivyotoka eti kisa kufuli [emoji28] nakosa majibu
Kamba ya mbuzi kabisahii kamba babaa
Mwanamke akiwa kwenye heat period anataka ute ambao ni kama KY gel, ute huu humrahisishia mwanaume kuingia wakati wa tendo. Ukiwa na kufuli linazuia ute huu bila hivyo unaweza kukuta nguo ina unyevu nyevu
Jibu ww huwa unavaa au huwa unajisahau?
Kuna kipindi nilinenepa sanaaa hasa maeneo ya kati hapa chupi zikawa zinanibana mno mno.. Zikawa zinaniwasha mule kwenye lastiki za kiuno na kwenye hips kwa ile hali ya kubana sana mpaka zinaacha alama .. Nikawa nawashwa kiunoni na hipsini.. Muda mwingine nipo kazini au kwenye halaiki mara hips au kiuno kinawasha dah unajikunaje sasa. Nilinunua chupi mara kadhaa siku chache zimabanaaJibu ww huwa unavaa au huwa unajisahau?
mahondaw wangu... Utafanikiwa kupungua kila kitu lakini siyo hizo hips na huko nyuma... You are blessed...Kuna kipindi nilinenepa sanaaa hasa maeneo ya kati hapa chupi zikawa zinanibana mno mno.. Zikawa zinaniwasha mule kwenye lastiki za kiuno na kwenye hips kwa ile hali ya kubana sana mpaka zinaacha alama .. Nikawa nawashwa kiunoni na hipsini.. Muda mwingine nipo kazini au kwenye halaiki mara hips au kiuno kinawasha dah unajikunaje sasa. Nilinunua chupi mara kadhaa siku chache zimabanaa
Nilikua muda mwingine nikiwa chumbani kwangu tu sivai au navaa vipensi/ bukta tu au khanga tu ila nikitoka navaa.
But nimeanza kumeintain asee nashukuru Mungu napungua kuwa saizi ya kati.
Mahondaw wa Smart911
Vipi naweza kuwa karib nawe zaid ya rafikBado nimelala Rafiki we acha Ujumbe wako ntaukuta,ukiwa wa maana ntakujibu ukiona kimya ujue ni pumba,
Love!!!!!mahondaw wangu... Utafanikiwa kupungua kila kitu lakini siyo hizo hips na huko nyuma... You are blessed...
Ndiyo kwanza unazidi kukaa vizuri... Mashallah...
Hahahhahahahahahhhahaha, wewe mtu, umetisha.mtu mwenye akili timamu unavaa chupi ya nini?
Jamani sivunanunua size inayokutosha mbona magauni hayawabani?
Kamba hiyo mkuu.... [emoji51] [emoji51]Hii sio kamba kweli
Hapa hata ATM ya mshahara natoaLinganisha sasa ni Mimi yule yule au mwingine na hiyo Avatar???
![]()