Kwa hali hii wengi wanatembea bila kuvaa

Kwa hali hii wengi wanatembea bila kuvaa

Salaam nyingi
jana wakati nipo kituo cha mabasi walitokea wasichana watatu kimtazamo walikua wakielekea ofisini kila mmoja aliwatupia macho jinsi walivyopendeza na kutembea kwa mbwembwe lakini ghafla walivyofika usawa wangu nikasikia mmoja amepiga yowe si kubwa la watu wote kusikia ila tulio karibu tulimsikia,wenzio wakauliza nini,yeye akajibu haaaa nimesahau kuvaa chupi mmoja akamwambia haa hilo ni la kukufanya kuhamaki rudi ukavae
sasa najiuliza ni wangapi yameshawatokea halafu wapo mbali na home

Duniani kuna mengi
Huyo mdada kuna kitu kinamic kwenye ubongo wake kwa sababu kama mambo ya msingi kama hayo anasahau ni mangapi ambayo pia ni ya muhimu anayapotezea? Sipati picha mdada aliyelelewa kimaadili anasema amesahau kuvaa chupi!!!!!!! aibu yake na huyo nadhani atakuwa anafanya biashara yetu ile na hasa ukizingatia sasa hivi tupo kwenye kuweka mazingira wezeshi ya biashara.
 
Haaaa, mimi nisipovaa chupi siwezi kutoka.
kwanza huwa navaa chupi najiangalia kwenye kioo ilivyonikaa hivyo kusahau ni ngumu
Hahaaa. Basi kama tunafanana vile mana mi pia nikishajipaka mafuta lazima nivae halafu ndio niendelee kuvaa nguo nyingine mana chupi kwangu ndio kitu cha kwanza.

Ila mumy kuna watu wana mioyo yao aisee..
 
Unaanzaje kuacha asali yako ingie vumbi?Tunza cha kwako bana.Hawa wadada wa siku izi bure kabisa.Natamani wangekuwa na wao wanadindisha ili waone umuhimu wa chupi kwenye sekta hiyo kama hawaoni kwenye kuficha utamu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Usikute wanaiga wadada kwenye Red carpets za Mamntoni!
Hawajui kuna utepe unavaliwa kumsitiri bibi.
Hahaaaa. Mumy kuiga kwao huko hakuna mfano aisee.

Ila ndio hivyo wanasahau ule msemo usemao za mwenzio changanya na zako.
 
Hivi wadada wengi mnatembea tubeless?!sasa kama umevaa sketi upepo ukipiga kwny kitumbua mnajisikiaje?!


Kuna mdada yupo field hapa ofisini basi anapata shida na a/c na vimini vyake anakaa amebana miguu kama mkojo unataka kutoka usikute havai kufuli nayeye ngoja nimfanyie uchunguzi
 
Hivi wadada wengi mnatembea tubeless?!sasa kama umevaa sketi upepo ukipiga kwny kitumbua mnajisikiaje?!


Kuna mdada yupo field hapa ofisini basi anapata shida na a/c na vimini vyake anakaa amebana miguu kama mkojo unataka kutoka usikute havai kufuli nayeye ngoja nimfanyie uchunguzi
Acha uchokozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom