Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
Makusudi mkuu si bahati mbayaMtu anasahauje kuvaa chupi
Makusudi mkuu si bahati mbayaMtu anasahauje kuvaa chupi
mkuu nae ni binaadamu
hii kamba babaaHii sio kamba kweli
Dah! Kama nakuona ukiwa kwenye kioo[emoji13] [emoji13] [emoji12]Haaaa, mimi nisipovaa chupi siwezi kutoka.
kwanza huwa navaa chupi najiangalia kwenye kioo ilivyonikaa hivyo kusahau ni ngumu
Joto la darisalama +chupi +kutembea kwa miguu, ya nn ssmtu mwenye akili timamu unavaa chupi ya nini?
hahahah ndiyo unaniona sio kamaDah! Kama nakuona ukiwa kwenye kioo[emoji13] [emoji13] [emoji12]
Haaaa, mimi nisipovaa chupi siwezi kutoka.
kwanza huwa navaa chupi najiangalia kwenye kioo ilivyonikaa hivyo kusahau ni ngumu
mmmmmh no commentBila shaka utakua na chura, mwenye chura hawezi acha kuvaa chupi.
Dah chura so mchezo wenye chura mnathamani sana kwadunia yaleo.mmmmmh no comment
wape shule mamaMwanamke akiwa kwenye heat period anataka ute ambao ni kama KY gel, ute huu humrahisishia mwanaume kuingia wakati wa tendo. Ukiwa na kufuli linazuia ute huu bila hivyo unaweza kukuta nguo ina unyevu nyevu
Nimepata picha upo kwny kioo na pichu tu.....hatari sana hiinini
Inaonyesha ni bahati mbaya ndio maana alipiga yoweUnaanzaje kuacha asali yako ingie vumbi?Tunza cha kwako bana.Hawa wadada wa siku izi bure kabisa.Natamani wangekuwa na wao wanadindisha ili waone umuhimu wa chupi kwenye selta hiyo kama hawaoni kwenye kuficha utamu.
mmmmmh no comment
Salaam nyingi
jana wakati nipo kituo cha mabasi walitokea wasichana watatu kimtazamo walikua wakielekea ofisini kila mmoja aliwatupia macho jinsi walivyopendeza na kutembea kwa mbwembwe lakini ghafla walivyofika usawa wangu nikasikia mmoja amepiga yowe si kubwa la watu wote kusikia ila tulio karibu tulimsikia,wenzio wakauliza nini,yeye akajibu haaaa nimesahau kuvaa chupi mmoja akamwambia haa hilo ni la kukufanya kuhamaki rudi ukavae
sasa najiuliza ni wangapi yameshawatokea halafu wapo mbali na home
Duniani kuna mengi
uraaa anaruka ruka churaaaa, chura huyoooo chura huyoooooUtakua unajishtukia sana kwa jinsi chura atakavyokua ana rukaruka[emoji3], wasiokua na chura wao hawana shida wanakatiza tu.
Ch
uraaa anaruka ruka churaaaa, chura huyoooo chura huyooooo
haya bhana mkuu