BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,238
- 11,907
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mtu mwenye akili timamu unavaa chupi ya nini?
Mila gan hyo?mkuu heshimu mila na desturi za watu
Leo umevaa ya Rangi gani?mmmmmh no comment
Wewe Unafaa kwa safar ya mbugani...alafu tupate breakdawn..apo ndo point yako itakuwa nzuri zaidi.Mwanamke mwenye Akili timamu na anaejiamini Havai chupi
Hivi na wewe ni mwanaume?Salaam nyingi
Jana wakati nipo kituo cha mabasi walitokea wasichana watatu kimtazamo walikua wakielekea ofisini kila mmoja aliwatupia macho jinsi walivyopendeza na kutembea kwa mbwembwe
Ghafla walivyofika usawa wangu nikasikia mmoja amepiga yowe si kubwa la watu wote kusikia ila tuliokuwa karibu tulimsikia, wenzio wakauliza ''nini''?, yeye akajibu haaaa nimesahau kuvaa chupi mmoja akamwambia haa hilo ni la kukufanya kuhamaki rudi ukavae
Sasa najiuliza ni wangapi yameshawatokea halafu wapo mbali na home
Duniani kuna mengi
Mkuu so hata weekend unahimiza wavae tu ? je usiku je ?Hawaelewi tu umuhimu wa kufuli
Mwanamke akiwa kwenye heat period anataka ute ambao ni kama KY gel, ute huu humrahisishia mwanaume kuingia wakati wa tendo. Ukiwa na kufuli linazuia ute huu bila hivyo unaweza kukuta nguo ina unyevu nyevu
watu wa jf bhana waajab kwelMm huwa namchungulia wife akienda kazini lazima atavaa ..ila akiwa maeneo yahome Mara nyingi huwa havai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na unapokua mbali na icho kioo unajiangalia kweny nn?Haaaa, mimi nisipovaa chupi siwezi kutoka.
kwanza huwa navaa chupi najiangalia kwenye kioo ilivyonikaa hivyo kusahau ni ngumu
zama hizo kikiwa cha msichana kiharage likiwa la mtu mzima harage ndio hufunika
za wavaa shangaMila gan hyo?