Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,437
Dah...... Ghafla????? 😀😀😀😀Haijawahi nitokea aisee hivi mwanamke unaanzaje kutokuvaa kufuli mana kuna mambo yetu mengine huwa yanatokea ghafla saa nyingine.
Daaah. Pole yake
Dah...... Ghafla????? 😀😀😀😀Haijawahi nitokea aisee hivi mwanamke unaanzaje kutokuvaa kufuli mana kuna mambo yetu mengine huwa yanatokea ghafla saa nyingine.
Daaah. Pole yake
Umesahau ... Ni kufunika asaliKwa ajili ya kufunika chakula
Naomba nije pmHAKIKA MPENDWA MIMI NDIYE NA WALA SIYO MWINGINE
[emoji8][emoji8][emoji8]Linganisha sasa ni Mimi yule yule au mwingine na hiyo Avatar???
![]()
Toa andiko ni wapi imelazimishwa kuvaa chupi!Salaam nyingi
Jana wakati nipo kituo cha mabasi walitokea wasichana watatu kimtazamo walikua wakielekea ofisini kila mmoja aliwatupia macho jinsi walivyopendeza na kutembea kwa mbwembwe
Ghafla walivyofika usawa wangu nikasikia mmoja amepiga yowe si kubwa la watu wote kusikia ila tuliokuwa karibu tulimsikia, wenzio wakauliza ''nini''?, yeye akajibu haaaa nimesahau kuvaa chupi mmoja akamwambia haa hilo ni la kukufanya kuhamaki rudi ukavae
Sasa najiuliza ni wangapi yameshawatokea halafu wapo mbali na home
Duniani kuna mengi
Salaam nyingi

Mmhhh ikupendeze ? .....Kumbe kuna watu chupi haziwapendez eeehh??Haaaa, mimi nisipovaa chupi siwezi kutoka.
kwanza huwa navaa chupi najiangalia kwenye kioo ilivyonikaa hivyo kusahau ni ngumu
Naona unachangia uzi wa GT mwenzako
Eee anakua kama amevaa chupi ya watoto clinicMmhhh ikupendeze ? .....Kumbe kuna watu chupi haziwapendez eeehh??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huvaagi wwNaona unachangia uzi wa GT mwenzako
Sivaagi chupi navaa manyanyapensiHuvaagi ww
Mkuu unatisha, basi nimekoma kusoma post yakomtu mwenye akili timamu unavaa chupi ya nini?
Kwahiyo ukitembea mambo mtepwetoSivaagi chupi navaa manyanyapensi
Teh teh..Noted BroUmesahau ... Ni kufunika asali
clear kabsaa mkuuKamba hiyo mkuu.... [emoji51] [emoji51]
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
usome uzi vizuriYaani walisubiri waseme wakiwa karibu na wewe ili usikiye?
Mimi tena