kwa hali hii, kwani nilazima tuishi ulaya?

kwa hali hii, kwani nilazima tuishi ulaya?

Kuna..... alizoea kuniambia "nikienda ulaya naolewa na mzee coz hatokua na miaka mingi duniani....
 
Njaa Ni mbaya sana; akili Ni nyenzo muhimu katika maisha. Bora ukose Mali uwe na akili.
 
karne ya 21 mambo yamegeuka sasa sio wazee kuoa vigori tena.
 
Actually, huo ni ubeti katika shairi la Kaluta Sheikh Amri Abeid. Lipo katika kitabu chake cha Sheria za Kutunga Mashairi. Waimbaji hao wakauchukua na kuuimba barabara.

Gide MK :Mtu chake apendacho,hakina hila machoni,huridhika kuwa nacho japo hakina thamani,
mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo.penzi la fukara jama halina thamani mbele ya watu!
 
Heeeeee.. Bora uishie kupiga punyeto.

Ukute dogo anasubiri bibi akifa arithi mali

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mambo za Green Card mkuu, mbona hushangai Kylin kazalishwa mapacha na Mengi
 
attachment.php


Kijana wa miaka 23, amuoa kikongwe ( a.k.a binti) wa Miaka wa miaka 82.

Nasikia hii tebia inazidi kwa vijana wa kiume na wakike kwenda ulaya na kuolewa au kuoa vikongwe ili na wao waambiwe wanaishi ulaya. kwanini wanauza utu wao?

Age ya huyu janki na ya mama wa kizungu inaashiria wote ni watu wazima, na kitendo cha kufunga ndoa ni ishara kuwa wamekuwa either wamejuana muda mref, kila mmoja anajua tabia na uzuri wa mwenzake na udhaifu wake na wamevikubali hivyo vyote, mwwishowe wakaona wahalalishe hivyo hawana shaka na maamuzi yao na wala hawakulazimishwa.pengine ata swala la ku-duu walishalianza kitambo kidogo hivyo hawanashaka na performance zao. tumwombe mungu bibi maisha marefu ili aendelee kula raha za damu moto naye kijana azidi kupata baraka za wazee. kwani achaguae mke amechagua kitu chema. bwana awabariki.

mapenzi huanza kama utani, unaweza kuta huyu janki ni hausiboi wa huyu mama mwishowe akaanza ku-flirt nae na mwisho wakawa wameingia katika mapenzi na sasa wameamua kufunga ndoa. thats well and good. swala la mali sijui kijana amefuata utajiri sio la msingi sana, wacha watu wafurahie pendo la ndoa, nahakika huyu bibi ataishi maisha marefu sana kwanianafuraha zaidi ya kupata kijana wa kiafrika, simba wa teranga.lion of the african jungle, waoh!!. hata afrika vibibi ni malaya sana, bora hawa walioamua kuhalalisha. infidelity ni kitu kibaya sana, ndio maana wamemtangazia mungu na dunia kuwa wao ni mke na mume. alichokiunganisha bwana mwanadamu asikitengue. amen
 
jamani si Ulaya tu mmesahau sakata la yule dogo aliyefungishwa ndoa na yule mbunge over 60 yrs na mch. Lwakatare

Lakini kidogo Mamaaaa is good looking.
 
age ain't nothing but a number.- Singer Aliyah
hapa kwenye jf kuna majanki leo wanaponda lakini wakishakuwa vikongwe watakuta haya mambo ni mengi na ya kawaida sana na wao watajichukulia viserengeti boyz waolewe ama wavioe. binadamu bwana
 
age ain't nothing but a number by the late aaliyah.
 
Back
Top Bottom