cren Senior Member Joined Sep 24, 2013 Posts 199 Reaction score 21 Feb 4, 2014 #41 ha ha ha! Tobaaaaaaa chunga tamaa mbaya,chunga, tamaa mbaya, heeeeeeee kweli njaa mbaya sana na si kidogo 'heaven on earth'
ha ha ha! Tobaaaaaaa chunga tamaa mbaya,chunga, tamaa mbaya, heeeeeeee kweli njaa mbaya sana na si kidogo 'heaven on earth'
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,460 Reaction score 17,947 Feb 4, 2014 #42 ifikie kipindi na wazungu nao waje afrika waoe vikongwe wetu! Haki sawa kwa wote!
cren Senior Member Joined Sep 24, 2013 Posts 199 Reaction score 21 Feb 4, 2014 #43 ha ha ha! Tobaaaaaaa chunga tamaa mbaya,chunga, tamaa mbaya, heeeeeeee kweli njaa mbaya sana na si kidogo 'heaven on earth'
ha ha ha! Tobaaaaaaa chunga tamaa mbaya,chunga, tamaa mbaya, heeeeeeee kweli njaa mbaya sana na si kidogo 'heaven on earth'
Nambukwa JF-Expert Member Joined Aug 5, 2009 Posts 243 Reaction score 146 Feb 4, 2014 #44 Excel said: ifikie kipindi na wazungu nao waje afrika waoe vikongwe wetu! Haki sawa kwa wote! Click to expand... wawaoe kwa lipi?
Excel said: ifikie kipindi na wazungu nao waje afrika waoe vikongwe wetu! Haki sawa kwa wote! Click to expand... wawaoe kwa lipi?
K Kukamido JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 853 Reaction score 204 Feb 4, 2014 #45 Dah aisee mambo mengine tumuachie mungu tu
Mamzungu Member Joined Jan 21, 2014 Posts 9 Reaction score 2 Feb 4, 2014 #46 Ukiwa wameridhiana hakuna neno jamam
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,460 Reaction score 17,947 Feb 4, 2014 #47 Nambukwa said: wawaoe kwa lipi? Click to expand... kwani sisi hatuna pesa? haki sawa bana! hata babu zetu akina Asprin, Dark City nao wana haki ya kuoa vimwana vichanga vya kidhungu! damu chaaanga nao waifaidi! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nambukwa said: wawaoe kwa lipi? Click to expand... kwani sisi hatuna pesa? haki sawa bana! hata babu zetu akina Asprin, Dark City nao wana haki ya kuoa vimwana vichanga vya kidhungu! damu chaaanga nao waifaidi!