Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Ngoja niandae mkeka wa mechi za leo nikuletee mkuu maana hii fursa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu Wa hivi tunatakiwa tuwatumie for benefit tupige ela mzee andaa mkeka mrefu ila ucje nisahau katika ufalme wako me unitag nipate deal andaa mkeka Wa timu 36 kabisa 😎 😎
 
Wewe umeongea point sana jamaa kweli kama ana hizo attributes aweke contact sana sana unofficial email ili watu wa system wa verify na kumchukua, Watu wanasoma physiology years na bado

Sure bro. Mataifa ya wenzetu wanajali sana vichwa adimu kama hivi. Sisi huishia kuoza kabisa kabla hatujafa. Kama kweli jamaa anamaanisha itakuwa resourceful kwa idara hiyo nyeti kwa taifa
 
Tuambie nan alimshambulia tundu Lissu na nan atakuwa rais 2025,je magufuli atakufa kweli kama mh rema alivyotabiri
 
Ujawai enda kozi yoyote ya lugha za kigeni afu unazichapa sawasawa! Unless umeishi hizo nchi zote tano
39a9c612b5af49ee61d05cb1dc279943.jpg
 
Fanya hvyo ndg yangu
Briton v new castle
Getafe v Villarreal
Eibar v Celta Vigo
Fiorentina v Atalanta
Strasbourg v Nantes Yani hao tu sio lazima uweke MATOKEO yote kama sijui 1-0au 3-0 we weka tu Brighton v Newcastle (kama away win ) inatosha then tukianzia HAPO tutakuelewa vzr
Mkuu unawekaje team chache weka 36 adi za Japan huko Leo mhindi tumfirisi kabisa kesho afunge biashara after all asha nipuna sana
 
Ninachoamini mimi kuwa binaadamu ni sawa na wanyama wengine,katika wanyama mwenye hisia sana mmoja wapo ni mbwa,kwa wale wafugaji mbwa wanaweza kuelewa nini naongea.

Mbwa ana uwezo wa kujua nani anakuja kukutembelea nyumbani kwako anaweza kujua kama anaekuja ni mtu mbaya au mzuri,kwa wale wahalifu wanaofuga mbwa wanatumia mbwa kujua kama askari anakuja sehemu waliyopo..

Kama mtakumbuka wakati wa "Tsunami" ule mtetemeko wa ardhi uliotokea chini ya bahari shehemu ya mashariki ya mbali,tetemko hilo lilisababisha mawimbi makubwa sana katika nchi mashariki ya mbali hasa Thailand...

Tembo na ndege na wanyama wengi walikimbilia sehemu za milima kabla "tsunami" kutokea, hii ilishanga wa watu sana,Wanyama waliweza kuona kama kutatokea kitu kibaya kabla hata hicho kitu hakijatokea..

Binaadamu tuna hisia kama za wanyama lakini uwezo unapishana, binaadamu wengine wana uwezo mkubwa wengine mdogo,wengine wanahitaji kukuzisha uwezo wao,wengine wanajitambua wana uwezo huo wengine hawajitambui kama wana uwezo huo

Nakubaliana na mengi uliyoelezea katika maandishi yako,japo kuwa naona kama mengine umezidisha kuweka chumvi kidogo,Binafsi ninao uwezo kam wako,kwa mambo fulani,mfano chochote ninachokitabiri kitatokea,nikisema mwezi au siku fulani nitapata kitu hichi basi nitapata ukweli sijui napata vipi lakini napata..

Chakushangaza mengi ya mambo ninayopata au yanayokuja kwangu kwanza yanaanza kama hisia au "vision" fulani,Mfano hivi sasa nina hisia kuwa mwakani lazima niendeshe gari ya Volvo cx 70,basi asilimia 95 nitakuwa na hiyo gari...

Nilikuwa hodari sana Darasani,mpaka nimemaliza elimu ya juu mimi nilikikuwa ni mtu wa pili kwa shule,nimeshukua shahada ulaya ambayo vile vile ilikuwa mfano kwa walimu,nina uwezo wa kuona kama kitu kibaya kitanitokea,nina uwezo wa kumjua mtu mzuri au mbaya,nina uwezo a kujua nini mtu anataka kuongea kabla hajaongea....nk

Kwa ufupi nimeamini nini unachojaribu kukieleza,ni "frustration" imekukumba hujui kwanini uko hivyo....lakini hicho nikipaji ambacho kila binaadamu anacho,sema wengi wetu hatujui vipi tukitumie.....
 
Duuu masikini elfu 10 yangu.Unajua we jamaa m Mungu anakuona!!!
 
Kuna principal zinakataa lakini kwa sababu umesisitiza nitakusaidia.Nitaandika idadi ya magoli ili watu wote waone vizuri.

Briton v new castle (0-1)
Getafe v Villarreal (1-2)
Eibar v Celta Vigo (1-0)
Fiorentina v Atalanta (0-0)
Strasbourg v ..... (2-1)

Kuna mechi moja italeta utata katika maamuzi.Kila la kheri.
Dk 78
Getafe 3 v 0 vilareal
 
Nakushauri fanya mpango uingie taasisi ya usalama wa taifa. Itakufaa sana kwa uwezo wako huo. Ulisaidie taifa letu kwa kukabiliana na uncertainties na majanga yanayoangamiza taifa hili.

Acha kazi hiyo uliyonayo. Jiunge jkt zen uingie TISS iwe ndiyo career yako.

Usichelewe
Napenda kazi zao, na ilikua moja ya ndoto zangubkua spy lakini hazikuzaa matunda maana kwa sasa nimejikita kwenye kazi ingine
 
Back
Top Bottom