jordan johnson
Member
- Sep 15, 2017
- 5
- 4
kwa hali iyoooo daaah sijakupata bado
Huyu chengu tu mkuu achana naekama unajua kusoma mawazo ya mtu..niambie nilikuwa nataka nisemaje kabla sijatype hapa
Karibu mkuu, sema tu lugha ipi tuanze nayo?Apo kwenye izo ligha I doubt for realy naongea kijeruman na kichina ntakutafta
Majini ni vitu gani maana unazidi kunichanganyaUna majini bro,hyo kupenda maiti,harufu mbaya,na kukaa alone ni dalili tosha,una demons
Nimetohoa direct, nimandika bachalaMbona sasa umekosea kuandika bachelor kama hukoseagi?
Hapo kwenye kipengele cha tatu naweza kufanya kitu kama hicho.Naweza kujua jina lako halisi hata kama nimekuona kwa mara ya kwanza.Sinauwezo wa kujua jina lako ikiwa hatuko face to face.Nikikuona naweza kujua jina lako, kabila , umri hata kijiji ulichotoka na naweza kujua pia mko wangapi katika familia yenu na wewe ni wangapi.Lakini hii hua naifanya nikiwa nakuangalia machoniFor sure! this is the first thing I noticed from his post...
Unajua Tanzania bhana mashaka sana, huyu anapenda watu wapate tabu anasema ndio maana kina lissu wataendelea kupigwa risasi wala yeye haumii na uwezo wa kuwazuia watu wasiojulikana anao. Serikali inabidi imtafute huyu JINIASI ili ashiriki katika tume ya mazungumzo juu ya makinikia yetu
Mkuu mimi nina maombi matatu kwako kama ifuatavyo
(i) Fanya mpango kwa ujiniasi wako hawa watu wasiojulikana wajulikane.
(ii) Kuna kiongozi mmoja hapendwi sana hapa nchini hebu fanya mpango apoteeeee
(iii) Nataka uniambie mimi jina langu kamili ni nani na ntakufa lini
Hadithi za Alfu Lela Ulela na AbunuasiKweli JF ya sasa sio ile ya zamani
Kuna miaka ilikua ngumu kukutana na alf lela ulela humu
Nakumbuka watu kama akina John Mnyika walikuaga member nahisi wamekaa kimya sababu ya hadithi kama hizi