Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili" .
Yaani, katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni; Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko. "
Kisha nikaziangalia kazi zote zilizofanywa kwa mikono yangu, na taabu yote niliyotaabika katika kuzitenda; na tazama, yote ni ubatili na kujilisha upepo, wala faida hakuna chini ya jua.Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku zilizo mbaya, wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. "Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu.”
 
ni maneno ya Mhubiri1:1 Mhubiri: Kiebrania: Kohelethi.mwana wa Daudi, aliyekuwa mfalme huko Yerusalemu.

2Bure kabisa, bure kabisa,

nakuambia mimi Mhubiri!

Kila kitu ni bure kabisa!

3Binadamu hufaidi nini

kwa jasho lake lote hapa duniani?

4Kizazi chapita na kingine chaja,

lakini dunia yadumu daima.

5Jua lachomoza na kutua;

laharakisha kwenda machweoni.

6Upepo wavuma kusini,

wazunguka hadi kaskazini.

Wavuma na kuvuma tena,

warudia mzunguko wake daima.

7Mito yote hutiririkia baharini,

lakini bahari kamwe haijai;

huko ambako mito hutiririkia

ndiko huko inakotoka tena.

8Mambo yote husababisha uchovu,

uchovu mkubwa usioelezeka.

Jicho halichoki kuona,

wala sikio kusikia.

9Yaliyokuwako ndio yatakayokuwako,

yaliyotendeka ndio yatakayotendeka;

duniani hakuna jambo jipya.

10Watu husema, “Tazama jambo jipya,”

kumbe lilikwisha kuwako zama za kale.

11Hakuna mtu anayekumbuka ya zamani

wala atakayekumbuka yatakayotukia baadaye.

Aliyoyaona Mhubiri

12Mimi Mhubiri, nilikuwa mfalme wa Israeli, huko Yerusalemu. 13Nilipania kuchunguza na kutafuta kwa hekima kila kitu kinachotukia duniani. Hiyo ni taabu kubwa ambayo Mungu amewapa wanadamu.

14Nimeyaona yote yanayofanywa duniani; yote ni bure: Ni sawa na kufukuza upepo!

15Kilichopindika hakiwezi kunyoshwa,

kisichokuwapo hakiwezi kuhesabiwa.

16Basi, nikatafakari nikisema, “Nimejipatia hekima nyingi zaidi kupita wote waliopata kutawala Yerusalemu kabla yangu. Naam, nina uzoefu wa hekima na maarifa.”

17Nilipania kubainisha kati ya hekima, wazimu na upumbavu. Lakini niligundua kwamba kufanya hivyo ni sawa na kufukuza upepo.

18Maana katika kuwa na hekima nyingi mna wasiwasi;

na aongezaye maarifa zaidi huongeza huzuni zaidi
 
1Basi, nikawaza; “Ngoja nijitumbukize katika starehe, nijifurahishe.” Lakini, niligundua kwamba kufanya hivyo ni bure kabisa. 2Nikasema kuhusu kicheko, “Ni wazimu”, na starehe “Mna faida gani?” 3Nilifikiria sana, namna ya kujichangamsha akili kwa divai, huku nikisukumwa na ari yangu ya kupata hekima; pia namna ya kuandamana na upumbavu ili nione yaliyo bora kabisa ambayo wanadamu wanaweza wakafanya waishipo maisha yao mafupi hapa duniani.

4 Taz Mhu 3:13; 5:18; 9:7 Nilifanya mambo makuu: Nilijenga majumba na kujilimia mashamba ya mizabibu. 5Nilijifanyia bustani na viunga, nikapanda miti ya matunda ya kila aina. 6Nilijichimbia mabwawa ya maji ya kumwagilia hiyo miti. 7Nilinunua watumwa, wanawake kwa wanaume, na wengine wakazaliwa nyumbani mwangu. Nilikuwa na mali nyingi, makundi ya ng'ombe na kondoo wengi kuliko mtu yeyote aliyenitangulia kukaa Yerusalemu. 8Nilijirundikia fedha na dhahabu kutoka hazina za wafalme na toka mikoani, nami nilipata waimbaji wanaume kwa wanawake, na masuria2:8 masuria: Neno la Kiebrania si dhahiri. watamaniwao. 9Naam, nikawa mkuu, mkuu kuwapita wote waliopata kuwako Yerusalemu kabla yangu; na hekima yangu ikakaa ndani mwangu. 10Kila macho yangu yalichokitamani nilikipata. Moyo wangu sikuunyima raha yoyote ile; kwa kuwa moyo wangu ulifurahia niliyotenda, na hili lilikuwa tuzo la jasho langu. 11Kisha nikafikiria yote niliyokuwa nimefanya kwa mikono yangu, jinsi nilivyotoa jasho katika kufanya hayo. Nikagundua kwamba yote yalikuwa bure kabisa; ilikuwa ni sawa na kufukuza upepo, hapakuwapo faida yoyote chini ya mbingu.

12Basi, nikaanza kufikiria maana ya kuwa na hekima, kuwa mwendawazimu, na kuwa mpumbavu. Nilijiuliza, “Mtawala mpya anaweza kufanya kitu gani?” 13Basi, mimi nikagundua kwamba hekima ni bora kuliko upumbavu, kama mwanga ulivyo bora kuliko giza. 14Mwenye hekima anayo macho, huona aendako, lakini mpumbavu hutembea gizani. Hata hivyo, nikatambua kwamba mwenye hekima na mpumbavu mwisho wao ni uleule. 15Basi, nikasema moyoni mwangu, “Yatakayompata mpumbavu yatanipata na mimi pia. Kwa nini, basi, nimekuwa na hekima kiasi chote hiki?” Nikajibu, nikiwaza, “Hayo nayo ni bure kabisa.” 16Maana hakuna amkumbukaye mwenye hekima, wala amkumbukaye mpumbavu, kwani siku zijazo wote watasahaulika. Jinsi mwenye hekima afavyo ndivyo afavyo mpumbavu! 17Kwa hiyo, nikayachukia maisha, maana yote yatendekayo duniani yalinisikitisha. Yote yalikuwa bure kabisa; nilikuwa nikifukuza upepo.

18Nilichukia kazi yangu yote niliyokuwa nimefanya hapa duniani, kuona kwamba ilinipasa nimwachie mtu ambaye atatawala baada yangu. 19Tena, ni nani ajuaye kwamba atakuwa mwenye hekima au atakuwa mpumbavu? Hata hivyo, yeye atamiliki yote niliyofanya kwa kutumia hekima yangu hapa duniani. Pia hayo yote ni bure kabisa. 20Basi, nilipofikiria tena juu ya yote niliyofanya duniani, nilikata tamaa. 21Maana, wakati mwingine mtu ambaye amefanya kazi kwa kutumia hekima, akili na maarifa yake, humwachia mtu mwingine afurahie matunda ya kazi ambayo hakuitolea jasho. Pia hilo nalo ni bure kabisa; ni jambo baya sana. 22Mtu anafaidi nini kutokana na kazi zake zote, na juhudi anazohangaika nazo duniani? 23Kwa sababu maisha yake yote yamejaa taabu, na kazi yake ni mahangaiko matupu; hata usiku akili yake haipumziki! Hayo nayo ni bure kabisa.

24Hakuna chema kimfaacho binadamu, isipokuwa kula na kunywa na kuifurahia kazi yake. Hili nalo nimeliona kuwa latoka kwa Mungu, 25maana usipojaliwa na Mungu, huwezi kupata chakula wala kujifurahisha. 26Mungu humjalia mtu apendezwaye naye hekima, akili na furaha; lakini humpa mwenye dhambi kazi ya kuvuna na kurundika, kisha akampa anayempendeza yeye Mungu. Yote hayo pia ni bure kabisa; ni sawa na kufukuza upepo.
 
Ni maajabu ulipozaliwa ulicheka badala ya kulia, uliza watu nani alicheka alipozaliwa. Sishangai Atheists wote wana vituko na wengi wao ni genius. Formula zote za kisayansi ni watu kama wewe. Huenda una nguvu ya pekee usiyoijua lakini una jicho la tatu linalofanya kazi kwa ufasaha. Au unaishi katika ulimwengu wa roho
 
Kwa vile una bachala ya Europe lazima wewe ni jinias
For sure! this is the first thing I noticed from his post...
Unajua Tanzania bhana mashaka sana, huyu anapenda watu wapate tabu anasema ndio maana kina lissu wataendelea kupigwa risasi wala yeye haumii na uwezo wa kuwazuia watu wasiojulikana anao. Serikali inabidi imtafute huyu JINIASI ili ashiriki katika tume ya mazungumzo juu ya makinikia yetu

Mkuu mimi nina maombi matatu kwako kama ifuatavyo

(i) Fanya mpango kwa ujiniasi wako hawa watu wasiojulikana wajulikane.

(ii) Kuna kiongozi mmoja hapendwi sana hapa nchini hebu fanya mpango apoteeeee

(iii) Nataka uniambie mimi jina langu kamili ni nani na ntakufa lini
 
Back
Top Bottom