Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Ninachoamini mimi kuwa binaadamu ni sawa na wanyama wengine,katika wanyama mwenye hisa sana mmoja wap ni mbwa,kwa wale wafugaji mbwa wanaweza kuelewa nini naongea.

Mbwa ana uwezo wa kujua nani anakuja kukutembelea nyumbani kwako anaweza kujua kama anaekuja ni mtu mbaya au mzuri,kwa wale wahalifu wanaofuga mbwa wanatumia mbwa kujua kama askari anakuja sehemu waliyopo..

Kama mtakumbuka wakati wa "Tsunami" ule mtetemeko wa ardhi uliotokea chini ya bahari shehemu ya mashariki ya mbali,tetemko hilo lilisababisha mawimbi makubwa sana katika nchi mashariki ya mbali hasa Thailand...

Tembo na ndege na wanyama wengi walikimbilia sehemu za milima kabla tsunami kutokea, hii ilishanga wa watu sana,Wanyama waliweza kuona kama kutatokea kitu kibaya kabla hata hicho kitu hakijatokea..

Binaadamu tuna hisia kama za wanyama lakini uwezo unapishana binaadamu wengine wana uwezo mkubwa wengine mdogo,wengine wanahitaji kukuzisha uwezo wao,wengine wanajitambua wana uwezo huo wengine hawajitambui kama wana uwezo huo

Nkubaliana na mengi uliyoelezea katika maandishi yako,japo kuwa naona kama mengine umezidisha kuweka chumvi kidogo,Binafsi ninao uwezo kam wako,kwa mambo fulani,mfano chochote ninachokitabiri kitatokea,nikisema mwezi au siku fulani nitapata kitu hichi bas nitapata ukweli sijui napata vipi lakini napata..

Chakushangaza mengi ya mambo ninayopata au yanayokuja kwangu kwanza yanaanza kama hisia au "vision" fulani,Mfano hivi sasa nina hisia kuwa mwakani lazima niendeshe gari ya Volvo cx 70,basi asilimia 95 nitakuwa na hiyo gari...

Nilikuwa hodari sana Darasani,mpaka nimemaliza elimu ya juu mimi likikuwa ni mtu wa pili kwa shule,nimeshukua shahada ulaya ambayo vile vile ilikuwa mfano kwa walimu,nina uwezo wa kuona kama kitu kibaya kitanitokea,nina uwezo wa kumjua mtu mzuri au mbaya,nina uwezo a kujua nini mtu anataka kuongea kabla hajaongea....nk

Kwa ufupi nimeamini nini unachojaribu kukieleza,ni "frustration" imekukumba hujui kwanini uko hivyo....lakini hicho nikipaji ambacho kila binaadamu anacho,sema wengi wetu hatujui vipi tukitumie.....
Asante kumbe tu wengi,karibu.
 
Kuna principal zinakataa lakini kwa sababu umesisitiza nitakusaidia.Nitaandika idadi ya magoli ili watu wote waone vizuri.

Briton v new castle (0-1)
Getafe v Villarreal (1-2)
Eibar v Celta Vigo (1-0)
Fiorentina v Atalanta (0-0)
Strasbourg v ..... (2-1)

Kuna mechi moja italeta utata katika maamuzi.Kila la kheri.
Nina wasiwasi na halmashaur ya kichwa chako
Kuna mawil either virus wamefanya uvamiz wa kustukiza katka ubongo au kama ndugu zako wasemavyo dish limeyumba kaka

Kujua lugha sio tatzo sana coz ata mdogo wangu apa hom anayo maneno mawil matatu kutokana na hiz series za Korea
Kuhusu kujua swala linalokuja muombe radhi kwanza aliepotezea elfu 10 take
 
Kuna principal zinakataa lakini kwa sababu umesisitiza nitakusaidia.Nitaandika idadi ya magoli ili watu wote waone vizuri.

Briton v new castle (0-1)
Getafe v Villarreal (1-2)
Eibar v Celta Vigo (1-0)
Fiorentina v Atalanta (0-0)
Strasbourg v ..... (2-1)

Kuna mechi moja italeta utata katika maamuzi.Kila la kheri.
Naona principles zimekataa

Hamna hata moja uliyopatia kwa mechi zilizoanza
 
  • Thanks
Reactions: a45
Kwa hiyo mkuu hata huu Uzi ulivyoutoa ulishajua michango yetu ..yaani watachangia watu kadhaa na maoni yetu..ulisema hupendi kuajiriwa lakini kwenye maelezo yako imeonekana uko na wafanyakazi wenzio.
 
Hapo kwenye kipengele cha tatu naweza kufanya kitu kama hicho.Naweza kujua jina lako halisi hata kama nimekuona kwa mara ya kwanza.Sinauwezo wa kujua jina lako ikiwa hatuko face to face.Nikikuona naweza kujua jina lako, kabila , umri hata kijiji ulichotoka na naweza kujua pia mko wangapi katika familia yenu na wewe ni wangapi.Lakini hii hua naifanya nikiwa nakuangalia machoni
Wewe ni kitukuu cha Mwanamalundi.
 
Hi members, nitaanza kwa kujitambulisha hapa chini kabla ya kwenda kwenye mada kamili.

Jina: Free ideas(Not official)
Umri:29yrs
Elimu:Shahada
Kabila:Kanda ya ziwa
Familia: Married with 2 kids

Kiufupi nimesoma 0-A level hapa Tanzania kisha nikaenda nje ya nchi(Europe) kuchukua Bachala.

Binafsi kuna hali inanitokea hua mpaka mwenyewe nashindwa kujielewa kama ni kwangu tu ama hata kwa watu wengine, lakini kila nikijaribu kumsimulia mtu kuhusu yanayonitokea hua ananishangaa na kuona kwamba mimi sio mtu wa kawaida.

Nitaeleza japo kwa ufupi hapa chini kuhusu hali hiyo.

1. Nikiwa bado nasoma(primary), sikuwahi kakaa n kujisomea iwe wakati wa mitihani ala la!, kuna wamwaka niliugua mapunye(mashilingi)kichwani nikakaa nyumbani miez 10 nikaenda shule baada ya kupona mwezi wa 11.Week iliyofuata kukawa na mitihani ya kufunga shule kuingia darasa la sita.

Nilifanya mtihani ule bila maadalizi yoyote na kuna walimu walitaka nisiwanye mtihani kwa sababu sikuwepo almost mwaka mzima.Nikalia sana wakaniacha nikafanya.Matokea yalipotoka nikawa mtu wa pili (2) kati ya watu mia moja thelethini na nane( 138.) Mwalimu mkuu aliniita akitak nimwambie kama nilipewa mtihani na mwalimu yeyote , lakini aligundua kwamba sikupewa mtihani.
.
.
2. Napenda sana kukaa mwenyewe na hua nikiwa mwenyewe najikuta naongeaongea na wakati mwingine kucheka mwenyewe.Pia mama yangu aliponizaa anasema kwanza hakusikia uchungu wa uzazi kabisa.Pia nilipozaliwa tu nilicheka badala ya kulia kama watoto wengine.Nikiwa na miaka 3 nikikua na uwezo wa kusoma bila kukosea.
.
.
3. Nikiota kitu ndotoni hua haipiti siku tatu kinatokea kweli.Mwezi ulopita niliota nimepata ajali ya kugongana na bajaji kisha nikaumia kichwani.Baada ya siku mbili nilipata ajali kweli na nikaumia kwenye paji la uso.Hata rangi ya bajaji niliyoota ilikua nyekundu na kweli bajaji ilikua nyekundu.
.
.
4. Nina uwezo wa kujua mgeni gani atanitembelea nyumbani kwangu na kweli mgeni huyo atakuja.Wakati mwingine mke wangu hua anaogopa ninapomwambia leo atakuja mgeni kavaa nguo flani na atakuja kwa shida flani.Nilitabili mama yake mzazi atakuja mwezi flani na akakuja na mtoto mdogo na watakua wamevaa hibi na kweli ikawa hivyo.
.
.
5. Kuna siku nilikua mahala nimekaa vichakani kama kawaida yangu kukaa mwenyewe, nikahisi kuna nyuka mweusi nyuma yangu katokea shimoni.Nilichofanya ni kuinuka taratibu kusonga mbele na kweli ile nageuka nakuta nyoka mweusi.
.
.
6. Mwaka mmoja kabla ya babu wa Loliondo nikiwa nje ya nchi nilimwambia jamaa yangu kwamba mwakani kuna mtu ataibuka maarufu kwa kusema anatibu ukimwi tanzania na atapata watu wengi.Kweli ikawa jamaa yangu mpaka leo anaamini mimi ni ndugu yake huyo babu na kwamba nilijua paln zake.
.
.
7. Nikiwa masomoni nje ya nchi sijawahi kukaa na kujisomea zaidi ya kuangalia movie za ki-Intelejensia na documentary za sayansi lakini hakuna mzungu hata mmoja amewahi kunipita darasani ama kwenye presentation, nimekua nikifanya vizur sana.Baadhi ya presentation zangu na machapisho yangu naskia zinatumiwa chuoni hapo na walimu.(lecturers)
.
.
8. Ninaweza kujua kwamba week ijayo nitaumwa na kulazwa kwa siku kadhaa.Pia naweza kujua nitaumwa ugonjwa gani ama malaria ngapi na hata nikipimwa hua ni kweli idadi ile ile.Mwezi ulipita nilimwambia wife nimewaza kua nitaumia mguu mlangoni, nakweli nikaumia mguu na mpaka sasa sijapona vizuri.
.
.
9. Ninauwezo mkubwa sana wa kutumia computer kufanya kazi.
Naweza kuchapa kwa kasi sana bila kukosea hata herufi moja.Naweza kutatua tatizo la computer lililowashinda mafundi japo sijasoma kabisa maswala ya computer.
.
.
11. Naweza kujua mawazo ya mtu hasa kabla hajaongea hata kama ni mara ha kwanza kuonana nae.Lakini pia naweza kujua kama mtu anasema uongo ama ukweli.Mke wangu akiniaga anakwenda sehemu hua najua anakwenda wapi na muda atakaorudi najua au kama kuna dharura atapata hua najua.
.
.
12. Ninaweza kuongea lugha tano za kimataifa(tofauti na kiswahili na kiingereza) kwa ufasaha lakini sijafanya kozi ya lugha hata moja kati ya hizo.Lugha hizo ni pamoja na kifaransa, kijerumani, kichina, kihispania, kihindi na kiarabu.Nimejifunza kupitia simu ya mkononi.
.
.
13. Sipendi kabisa habari za Dini na maswala yamuhusuyo mungu(mimi ni Atheist) na hua najickia vibaya sana kujadili maswala hayo.Ninaamini hakuna mungu.Pia sina ushabiki wa vitu vinavyopendwa na watu wengi mfano mpira ama siasa.
.
.
14. Napenda kukaa sana vijijini (japo kwa sasa niko mjini sababu ya kazi)na kufanya kazi huko, sipendi kuajiliwa na wala sifurahii kabisa kulipwa mshahara na mtu mwingine.Napenda pia kuzunguka zunguka sehemu zenye mito ama maji yanayotiririka na kuyaangalia huku nikijiongelea mwenyewe.
.
.
15. Kuna mwaka flani nilikua kijijini eneo la mto akili ikanituma niangalie juu ghafla kikashuka kitu kizito sana kutoka angani kama jiwe kubwa, baada ya kutua chini ghafla kitu kile kikageuka ndege mzuri na sijawahi kuona ndege wa aina kama ile tena mpaka leo.Ndege yule aliruka ruka kunizunguka kisha akapaa kurrudi angani vertically. Cha ajabu sikuogopa kabisa hali ile.
.
.
16. Tangu nizaliwe nimefanya mapenzi kwa mara ya kwanza nikiwa na mke wangu.I mean sikuwahi kufanya mapenzi hapo kabla sijaoa.Katika kipindi hicho chote sikuwahi kuwa na hisia na mwanamke yaani kutamani kufanya sex.
.
.
17. Tangu niwe na akili timamu sijawahi kutoa chozi kwa maana ya kulia.Hata misibani nikienda hua naona ni hali ya kawaida na napenda sana kuishika maiti hasa kichwani.Wakati mwingine hua naomba nioshe maiti iliradi niishike kichwa tu kisha nami najishika kichwa halafu naondoka msibani.
.
.
18. Napenda harufu mbaya sana.Nikipita mahali kuna mzoga naweza kumaliza nusu saa hapo navuta harufu mpaka tumbo hua linajaa.Nikimuona mtu analia ama yuko kwenye huzuni mimi hua nafsi inafarijika na napenda kumwangalia huku natabasamu.
.
.
19. Sina hasira hata mtu akiniudhi namna gani.Hua nacheka na kutabasamu muda wote.Kuna baadhi ya ndugu wanadhani mimi ninamatatizo ya kiakili.
.
.
20. Nikiwa kazini hua ninatumia muda mwingi kufanya kazi za wafanyakazi wenzangu maana zangu hua namaliza kabla ya saa 3 asubuhi.Ofisini tunapangiwa kazi za siku husika hivyo mimi namaliza mapema hata kama kazi ngumu na kisha huwasaidia wengine karibu wote.Kufika sa sita kazi zote zimekwisha.Boss wangu hua ananipa majukumu hata yasiyo yangu (ya kwake)lakini nayafanya kwa haraka na kwa usahihi kabisa.
.
.
21. Sikuwahi kujifunza koz yoyote ya udereva lakini ninaendesha gari aina zote kwa ufasaha.Ninaweza kutumia mitambo mbali mbali hata kama ni mara ya kwanza kuuona.

Mwisho:

Hali hii inaniletea usumbufu sana kwa kua wengine wananitafrisi vibaya kutokana na tabia zangu.

Nimeleta hapa nipate ushauri wenu na kama kuna yeyote ambaye hali kama hii inamtokea nipate kujua kama ni tatizo ama ni kawaida.

.....Free ideas.......
kufikirika...
 
100% abdnormal man,hakuna ujiniasi apo.but we are about to find out
An intrepid Eskimo leaves his igloo and travels 12 kilometers north, 12 kilometers east and 12 kilometers north again to reach the North Pole. How many kilometers does he have to travel to return to his igloo in a straight line?
answer please
 
Back
Top Bottom