Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

U genius wote up bado unapishana na bajaj road tna kwa miguu cjui ulienda kufanya nn Europe nyie ndo wahujum uchumi umejihujumu ad mwnyw
 
Wewe nakushauri uende USA kuishi huko utapata kazi nzuri inayolingana na kipaji chako na utapata mshahara mzuri,hapa TZ unapoteza muda wako bure.Ukiwa huko tukumbuke sisi watanzania wenzako kwa kuja kututembelea wakati wa likizo,kwani nahisi watakupa uraia kabisa.
 
Back
Top Bottom