Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Wewe una marohani napepo wachafu,huwezi kutabir ya mbeleni, utakuja kuwa mganga wa jadi
 
Hiyo ya 19 baadae sana ndo utakuzi jaribu kujichangnya na watu mapema utajakua chiz
 
Kilichobaki tabiri siku yako ya kufa nadhani hiyo hutamwambia yeyote

Kuhusu kutokua na hisia hao watoto ulionao wa kubambikiziwa au???
 
b2b7002891d31a0ab1637c01170f2aff.jpg

sijui tumeelewanaa? maana wee inaelekea ni mwenzangu
 
14. Kuna sehemu unasema haupendi kuajiriwa na kulipwa mshahara na mtu pia kuna sehemu20. nasoma unamaliza kazi zako mapema na kuwasaidia wafanyakazi wenzako kazi mlizo pangiwa na boss wenu which is which

Anyway hongera mkuu
 
Nakushauri fanya mpango uingie taasisi ya usalama wa taifa. Itakufaa sana kwa uwezo wako huo. Ulisaidie taifa letu kwa kukabiliana na uncertainties na majanga yanayoangamiza taifa hili.

Acha kazi hiyo uliyonayo. Jiunge jkt zen uingie TISS iwe ndiyo career yako.

Usichelewe
Wewe umeongea point sana jamaa kweli kama ana hizo attributes aweke contact sana sana unofficial email ili watu wa system wa verify na kumchukua, Watu wanasoma physiology years na bado
 
Back
Top Bottom