tototundu 1
Senior Member
- Mar 8, 2013
- 138
- 36
natoaga nini!!!!!!!
min kabang!?
natoaga nini!!!!!!!
min kabang!?
kwa ubahili wako lazima ulalamike...hiyo 300 kama nakaa ubungo hata mwenge hainifikishi looh
tena nikikulipa 500 nasubiria chenchi yangu 200 sina hata soni.
wa huko huko Ngarenaro na sijui ni maeneo ngarenaro gani hiyo
ngarenaro ni hapo kati ambapo jinsi unazidi kupakaribia ndo jinsi weusi wa sugu unazidi kuongezeka.
Kalale wewe tuonane kesho subuhi na mapema........
nilale nipitwe na starehe?
za shilingi mia 3!!!! I mean mia mia tatu
natoaga nini!!!!!!!
goti...........
yah, nimetenga buku tatu, imagine bao ngapi izo??