paradiso
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 1,021
- 356
kijilaki tu povu limekutoka?
Umaskini ni ugonjwa mbaya sana
kama hapa ngarenaro nanunua nyapu kwa shs mia tatu kwanini laki moja isiwe kubwa kwangu??
kijilaki tu povu limekutoka?
Umaskini ni ugonjwa mbaya sana
Kugharamia demu ipo bhana yeye aende saluni msuko elfu ishirini achukue bajaji kukufata buku tano achilia mbali perfume na majirembuzi mengine kwanini asikupime uzito? anaweza ingia gharama bure halafu usitokee; sema tu kuna wadada ni mapapa mkunjo mmoja utakugharimu mpaka laki tano sita. Ile umeunganishwa nae tu kwa simu wala hamjaonana ushaambiwa dear simu yangu kimeo nimeibiwa simu jana hii haitumi hata sms na inazimazima; hapo unapigwa bomu la laki tatu ya simu kimyakimya. Sasa ukichapanuliwa ukaipiga ndio utakutana na majanga ooh baby nilichukua mkopo benki wanataka kuuza nyumba yangu mara baby nilienda dubai kuchukua mzigo umepotelea airport yani ngonjera kwa kwenda mbele. Wakati mnaagana utaambiwa baby nimekuja na dereva yuko nje muda wote huu atakuwa ananidai themanini halafu baby sina mafuta ya kupaka wanauza pale Milenium laki mbili hamsini na blah blah blah blah. Ukitoka hapo kwanini usimfikirie changu ambaye anatoa mchezo wa kumwaga bila jasho kwa buku tano yako?.Kama umejishaua unazo kwa nn usigeuzwe Kitalu cha gesi? Wewe unatakiwa kukomaa, hakuna Adavance payment Unamnunulia Vocha huku nawe unajinunulia fuko la kuvalisha Mpini, mguu kwa mguu ukianza za kishalo balo wanakuchukulia kama Shosti wao tu, kwanza hata izo Vocha ni Favor tu, mbona wakat wa kitombo na wao wanajojoa? Ina maana wanapata ma Flavor sasa iweje tulipie Mpaka kujojoa kwao!
anzeni kubadilika nyie.....na mtu akishajua huyu anataka one night stand
ndio maana anakupa mizinga...papuchi inatolewa kwa target sio karanga kusema zinagawiwa bure
hata karanga zenyewe hupati bure
Katika hali yoyote ile mkato (SHORT CUT) huwa ni mfumo unaohitajika kwa kila mtu! Katika hali halisi ya mapenzi ya siku hizi, ukitaka kumpata mzenzi wa kweli itakughalimu sana na wakati mwingine uishie kukutana na wizi wa hiari!
Binafsi sielewi mantiki ni nini kama unamtongoza mwanamke kwa lengo tu, la ku-du! halafu anakwambia subiri tu nitakwambia. wakati unaendelea kusubiri, unaanza kupigwa BILL! Mara naomba vocha, mara kesho sina nauli ya kwenda kazini! mara hela ya lunch sina! bado anataka kwenda saloon kwa wiki mara tatu. Sasa unajiuliza, hivi huyu namhudumia hivi ili nipate mgegedo wa siku moja tu au namhudumia kama mke?!!
Siku utakayompata ukimuuliza, atakwambia eti nilkuwa nakuangalia kama kweli unanipenda?! Sasa utamuangaliaje mtu ambaye amesha kueleza kuwa anataka ku- du na wewe tu?
Kwa maana nyingine ndiyo sababu hasa inayopelekea wanaume wengi kuamua kwenda kwa changu doa kwani yeye mnakubaliana ukishapiga mabao yako, biashara inaishia hapohapo. Hata mkikutana kesho mkataba unaanza upya.
USHAURI: Akina dada yapaswa sasa mbadilike ili kama unakubali basi mmalizane kuliko kuendelea kutiana hasara.
MSINIONE MBAYA WAJAMENI. Ni ushauri tu.
nauli ya kuja unyamwezini.......hiyo hela si bora ninunue karanga za darisalamu
siku hizi hamna vya bure bana
Horseshoe Arch; Yaweza kuwa hivyo japokuwa si kwa kiasi hicho.Miwatamu being mwanaharakat whom napinga womanizing af happen kauli zangu zikawa zinachochochea si kitu kizuri...Tumefika hapa tulipo kwa kuwa ni fungu tulilolichagua!
Hakuna lolote! Wengi wenu mnasumbuliwa ubahili na kupinda, ndiyo maana kuhudumia mnakuita "mizinga".
Na nyie punguzeni kupenda vya bure. BURE NI GHALIkwani b4 ha2jakutana ulikua unahudumiwa na nani?,punguzen kutaman vya dezo,ndo maana mnaliwa na vibabu..,yan mnakwanyua mizinga utafkr mnauza,...,ndo maana makanjibai yanawanyweaga viroba mixer kubeli afu linakukunjia goti mpk kwenye tgo
nikupe sh. ngapi UNIPE 0655?
kama hapa ngarenaro nanunua nyapu kwa shs mia tatu kwanini laki moja isiwe kubwa kwangu??
kwa ubahili wako lazima ulalamike...hiyo 300 kama nakaa ubungo hata mwenge hainifikishi looh
H.O.E unatoaga?