Kwa hali hii, bado changudoa wana umuhimu katika jamii

Kwa hali hii, bado changudoa wana umuhimu katika jamii

yani tena ukijadai kunichuna zaidi ya laki lazima nile hadi jicho bila kupaka mafuta wala mate hutaamini.
alafu sitaishia hapo, ntamsubiria na yule binti ako amalize form two nimalizie chenchi yangu kabisa.

Dah! umetisha mzazi
 
Ebwaeeeee!hilo nalo neno hako kabiashara kaharalishwe tu mbona kapo na watu wazitowazito nao wamo?kina dada jitambueni kaajira kadogo hako chuna kadri uwezavyo!
 
mimi nimechoka kununulia watu les wig na kutuma vocha alafu mwisho wa siku demu anakuja kunibania mapaja.

yani sitaki bugudha, bei chee tu unaitwa majina yote usiku huo hapo kitandani na safe sex inatawala tofauti na haya masungura matope yanaota kumiliki vitz mnasumbuana hadi unajikuta umetandika dry.

Uko wapi weekend nikupe offer?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mimi nimechoka kununulia watu les wig na kutuma vocha alafu mwisho wa siku demu anakuja kunibania mapaja.

yani sitaki bugudha, bei chee tu unaitwa majina yote usiku huo hapo kitandani na safe sex inatawala tofauti na haya masungura matope yanaota kumiliki vitz mnasumbuana hadi unajikuta umetandika dry.

Iko safe kinoma hii kitu watu hawajui tu....
 
Katika hali yoyote ile mkato (SHORT CUT) huwa ni mfumo unaohitajika kwa kila mtu! Katika hali halisi ya mapenzi ya siku hizi, ukitaka kumpata mzenzi wa kweli itakughalimu sana na wakati mwingine uishie kukutana na wizi wa hiari!

Binafsi sielewi mantiki ni nini kama unamtongoza mwanamke kwa lengo tu, la ku-du! halafu anakwambia subiri tu nitakwambia. wakati unaendelea kusubiri, unaanza kupigwa BILL! Mara naomba vocha, mara kesho sina nauli ya kwenda kazini! mara hela ya lunch sina! bado anataka kwenda saloon kwa wiki mara tatu. Sasa unajiuliza, hivi huyu namhudumia hivi ili nipate mgegedo wa siku moja tu au namhudumia kama mke?!!

Siku utakayompata ukimuuliza, atakwambia eti nilkuwa nakuangalia kama kweli unanipenda?! Sasa utamuangaliaje mtu ambaye amesha kueleza kuwa anataka ku- du na wewe tu?

Kwa maana nyingine ndiyo sababu hasa inayopelekea wanaume wengi kuamua kwenda kwa changu doa kwani yeye mnakubaliana ukishapiga mabao yako, biashara inaishia hapohapo. Hata mkikutana kesho mkataba unaanza upya.

USHAURI: Akina dada yapaswa sasa mbadilike ili kama unakubali basi mmalizane kuliko kuendelea kutiana hasara.

MSINIONE MBAYA WAJAMENI. Ni ushauri tu.

Kusema makahaba wana umuhimu wake sikubaliani na wewe hata kidogo kwani kumbuka siku zote shortcut is longcut!
 
Back
Top Bottom