Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Habari zenu wadau wa jf
Ninahitaji fundi anayetengeneza vitanda vya chuma aliyeko Tanga mjini.
Kama atapatikana nahitaji kitanda chenye size 5*6 iwe design nzuri.
Issue ya malipo tutaongea kwa kadri ya design itakavyokua.
Mawasiliano yangu ntatoa kwa pm kama fundi atapatikana au fundi aweke mawasiliano yake ntampigia mara moja
Closed..