Mkulima analima kwa jembe la mkono, kutoa mazao shambani mpaka kufikisha sokoni mkulima anakutana na barriers zaidi ya mbili na zote hizo lazima atoe kitu kidogo. Mkulima huyu akifika sokoni na mazao ya kuuza anapangiwa bei inayomkandamiza ukizingatia mbolea ya ruzuku imeuzwa yote na vingozi macheki bob.Namna pekee ya kunufaika kwa mkulima wa Tanzania ni kuuza mazao nje ya nchi ila ndo hivyo mipaka imefungwa ili tupangiwe bei kandamizi ya kuuza mazao yote hapa Tanzania.Fikra,siasa na sera hizi zinazo tumiwa na viongozi na kuwaaminisha watanzania zitaifanya Tanzania ibaki maskini na tegemezi milele.
Leo nimekumbuka tangia nianze kusoma huko primary nilifundishwa kuwa KILIMO NI UTI WA MGOGO WA TAIFA. Mpaka leo nimemaliza kidato cha nne bado ninaambiwa kauli, fikra na sera hiyo hiyo.
Najiuliza kama kilimo ndo uti wa mgongo mbona mpaka leo maskini wengi ni wakulima?
Kama tunategemea kilimo sasa tutashindanaje na mataifa mengine na je hii si inaendelea kutufanya tegemezi wa watu wenye viwanda ambao wao ndo wanapanga bei?
NADHANI NI WAKATI MUAFAKA WA KUSEMA UTI WA MGONGO WA NCHI YETU NI VIWANDA KULIKO KILIMO.
Fikra,siasa na sera hizi zinazo tumiwa na viongozi na kuwaaminisha watanzania zitaifanya Tanzania ibaki maskini na tegemezi milele.

kwanza unayosema ni ya kweli lakini hii kauli ya ukweli zaidi isipokuwa shida ipo katika aina ya kilimo ambacho watanzania wengi wanakifanya tasmimini inaonesha kwamba katika ardhi inayofaa kwa kilimo tanzania ni asilimia 0.7 tu ndiyo inalimwa, kilimo ni kweli kabisa ni uti wa mgongo kama large scale agriculture itafanyika. pili hakuna maendeleo ya viwanda kama hatutalima malighafi tutapata wapi, kumbuka asilimia 80% ya malighafi ya viwanda zinatoka katika kilimo.
Fikra,siasa na sera hizi zinazo tumiwa na viongozi na kuwaaminisha watanzania zitaifanya Tanzania ibaki maskini na tegemezi milele.
Leo nimekumbuka tangia nianze kusoma huko primary nilifundishwa kuwa KILIMO NI UTI WA MGOGO WA TAIFA. Mpaka leo nimemaliza kidato cha nne bado ninaambiwa kauli, fikra na sera hiyo hiyo.
Najiuliza kama kilimo ndo uti wa mgongo mbona mpaka leo maskini wengi ni wakulima?
Kama tunategemea kilimo sasa tutashindanaje na mataifa mengine na je hii si inaendelea kutufanya tegemezi wa watu wenye viwanda ambao wao ndo wanapanga bei?
NADHANI NI WAKATI MUAFAKA WA KUSEMA UTI WA MGONGO WA NCHI YETU NI VIWANDA KULIKO KILIMO.
hivo viwanda unasema ni viko wapi? hoja yako ni nzuri, lakini kubadili slogan na kujiita nchi ya viwanda hapo sikuungi mkono kwa sababu viwanda vingi si vya wazawa na mbaya zaidi vinazalisha biskuti na peremende tena kwa kiwango duni.