Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 954
- 825
Mzigo Kama huu, ilikuwa lazima nipitilize na jibu naliacha Huko juu nateremka tu Kama nimekatika brek.Somo silipendi hilo hata kwa kuigiza siliwezi
umenifurahisha sana na maneno yako kijanaHahaha! Nimeipenda and its true! Wanasemaga wanawake huwezi ishi nao na huwezi ishi bila wao. Kwahiyo huna namna zaid ya kuishi ndani ya matatizo
65%?? Heri yako wenzio namba za Viatu zilikuaga zetuHesabu kwangu ilikuwa ni mama mkwe nimejitahidi sana mtihani 65% na hapo nimeshaumiza kichwa vya kutosha