Calculator nyingi ni za uongo hebu angalia hii hesabu

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
776
2,404
Screenshot_20230510_071719_Calculator.jpg

Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.

Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.

Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
 
Kwenye hesabu yako kuna alama mbili (kuzidisha na kujumlisha) wewe Umeanza na kujumlisha badala ya kuzidisha. Hivyo mpaka hapo ni upo kinyume na kanuni za hesabu za MAGAZIJUTO. Na ndio maana umepata jibu tofauti na halisi

huwa tunaenda ivi
MAGAZIJUTO
Mabano
Gawanya
Zidisha
Jumlisha
Kutoa

Fuata huo mpangilio utapata jibu kama la calculator ya kwenye simu yako.
 
Hivi ww jamaa unaakili zote kweli ww
 
imagine mtu analeta kitu kama hicho alafu analalamikia calculator. Tukiambiwa tuzingatie hesabu sio ngumu tunaleta ujuaji. Kesho unapata mtoto huwezi mfundisha hata hesabu elimu ina umuhimu wake.

Piga kwa mfumo wa MAGAZIJUTO JIBU LITAKUJA SAWA
 
View attachment 2616288

Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.

Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
Mbali na hapo tunashukiru kwa kutujulisha umetumia cal. Ya samsung asante kwa taarifa
 
imagine mtu analeta kitu kama hicho alafu analalamikia calculator. Tukiambiwa tuzingatie hesabu sio ngumu tunaleta ujuaji. Kesho unapata mtoto huwezi mfundisha hata hesabu elimu ina umuhimu wake.

Piga kwa mfumo wa MAGAZIJUTO JIBU LITAKUJA SAWA
Inamaana hiyo calculator imeshindwa kupiga hiyo hesabu hadi inidanganye
 
View attachment 2616288

Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.

Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
rudi darasani mzee, uliruka magazijuto
 
View attachment 2616288

Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.

Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
Tekno hizoo zimewalemaza hadi mmekua wajinga kuja kupondea simu kubwa. Wewe ndo hujui hesabu usilaumu simu.
 
Back
Top Bottom