Kwa bajeti ya laki 2 unanishauri simu gani nzuri?

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Oct 11, 2019
207
482
Habari zenu,

Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo.

Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani.

Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
 
Nunua redmi note 5 used yenye hali nzuri kisha piga mautundu ukae na features zote za android 11. Maisha yaende
 
Mkuu jitahidi ongezea 1 then kanunue Samsung Galaxy A21s mpyaaa,hutajuta ni nzuri sn
 
Habari zenu,

Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo.

Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani.

Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
Samsung Galaxy A02

Haka ka simu ,ukimset seller mtaeewana ukikapata utainjoi sana kadogo ila amaizing mno mno. Hapo MOQ YAKE SI UMEONA YAJENGE TU ILA WAPO NA WENYE MOQ YA 1 ITEM
IMG_20210523_095344.jpg
 
Back
Top Bottom