Kwa ambao hawajaoa, walimu ni wake wazuri... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa ambao hawajaoa, walimu ni wake wazuri...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kashaijabutege, Jan 3, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ndugu wana JF ambao mnatafuta wachumba wa kuoa, nawashauri muoe wanawake wenye taaluma ya ualimu. Kina mama walimu, wengi wao, ni watulivu na ni walezi wazuri wa familia. Wanavaa mavazi ya heshima na ni wavumilivu sana katika ndoa.

  Hata hivyo, sisemi kuwa wanawake wa taaluma nyingine hawafai kuoa; la hasha. Vivyo hivyo, si kila mwalimu wa kike anakuwa mwanandoa mzuri, ila nasema wengi wao taaluma yao huwapa maadili yanayowafanya wawe wake wazuri.

  Kama kuna mwanamke mwalimu asiye na sifa nilizozitoa naomba atoe ushuhuda wake. Mliooa walimu kama mimi mnasemaje? I love my wife (Teacher).

  Kina mama mliolewa na walimu, je nao ni baba wazuri?
   
 2. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Sijaoa, mwambie shemeji yangu aniunganishe kwa mwalimu mwenzake ambaye hajaolewa! Tafadhali!
   
 3. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  NIMEJARIBU KUWAULIZA BAADHI WANAKUUNGA MKONO. anyway thanks
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nimilisikia hili mara kadhaa... nikikaaa na weledi wa mambo wengi wana mtazamo kama huu... huenda kuna ukweli fulani, kumbuka mwalimu ndo mlezi namba 2 ukiondoa wazazi!!
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Mkuu nimekugongea na lisenkyu kabisa, naunga mkono hoja yako. Hebu tusubiri wengine nao waseme
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  acha kudanganya wenzako ..
  ..kanuni IYO ilikuwa zaman ..cz mwalimu alikuwa na sifa za ualimu lakin nw days apana nooooooooo ualimu umekuwa km oltenatv job vile ata km ukichek udsm mtu akipangiwa/akipata education ananuna na anahangaika kuchanmge coz sasa mtu km uyo atakuwa na maadili ya ualimu?

  chek walimu wa UPE..je wale nao walimu by preofsional na maadili?je atakuwa ni sawa na mwalimu yule wa mwaka 1970-80?
  walimu wa siku izi hawana maadili km zaman so usijiodanganye kuchukua mwalimu ukajigamba umepata mke bora ..
  .....kwanza walimu wa siku izi kwa KUCHUKUA WAUME ZA WATU HAWAFAI+tabia zote mbaya anazo cz upeo umemuishia pale alikosa credt za kuendelea au alipata four kabisa.. so akaenda kusomea ualimu then wat do u xpect?...

  ... kanuni yako ilikuwa inatumika looooooong tym nt nw ma dear walimu na manes hawana maadili wala contet ya malezi ni sawa tu km umeoa muimbaji vile...amka chunguza then come bak

  bora tu ujiolee MWANASHERIA,MWANASIASA UJUE BORA NA SIYO KUJIDANGANYA MWALIMU SJUI NES NI MKE BORA WATAKUNYONGEA WATOTO KIUHAI NA KIMAADILI PIA.
  MKE BORA ANATOKA KWA BWANA..usijidanganye kabila ,fani i ,rangi i inabeba wake wazuri.
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mke mwema hutoka kwa Mungu!
   
 8. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmh ss tusio walimu tutadoda mwaka huu,sijui nibadili taaluma!:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  walimu awa wanaobaka wanafunzi?
  walimu awa waliofanya ualimu km oltenatv job?
  awa waliofel ndo wakaenda ualimu?
  KM UKIZUNGUMZIA WALIMU WWA ZAMAN APO SAWA NAKUBALI..CZ WALIKUWA NA MAADILI YAO ..lakin si leo ambapo mtu kauza bar miaka kadhaa kachoka zake ndo anaenda ualimu do u thk atakuwa na contet za ualimu ili AWE MKE BORA?
  KWA SASA NOOOOOOOOOOOOOO walimu wa zaman YEEEEEEEEES
  nawasilisha.
   
 10. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Rose,

  Hapo kwenye bluu unamaanisha muimba kwaya wa kanisani au wa Twanga Pepeta?
   
 11. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160

  Rose yaelekea una bifu na walimu eeeh?
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  nani anafahamu chuo kizuri cha ualimu......naomba anijulishe mara moja tafadhali....bila kuchelewa.
   
 13. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  huku si ndo pasua kichwa mrembo au?
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Rose natumia kimchina, ila nataka kukugongea seksi. Lakini naomba ipokee tu. Thanks 4 useful post. Mke mwema hutoka kwa bwana, na tabia unazozitaka kagua kwanza kama wewe unazo. Happy new year all.
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Happy New Year beb.....he he....mambo!!
   
 16. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hivo ni vilema vya mtu namtu na anefata kazi mradi kazi ana matatizo... ila ukiangalia fani ya ualimu na miiko yake.. huoni kama ni imekaa ki-malezi zaidi mama..?
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  preta jaman iyo chup imenasa apo?manake unaivua sjui unaivaa au ndo imefika?
  km kuvua vua au kuvaaa bas ipandshe bt apo si mahala pake unawaumiza watoto wwa watu umu.....missng u mamito m duin gret hpful ur duin da same...much love beibbbbb!!!!!!
   
 18. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Yeah mamangu alikuwa mwalimu and she was a good wifee to my dad and a good mother to us all. Ila angalizo, baada ya miaka mitatu to mitano tutaanza kupata walimu walosomea shule zetu za yebo yebo, so tunaweza kuhisi ni walimu gani tutakuwa nao!
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  IMEKAA KIMALEZ SKATAI..ILA AO WALIMU WANA MAADILI/WANAZINGATIA MAADILI KM IPAASAVYO? THATS MA CONCERN SLP ON
  WA ZAMAN WALIKUWA WANAFATA MAADILI N THAST Y WALIKUWA WAMAMA BORA BT NW mmh mmh apana nagoooooooooooooooma nakataa..uzuri wa mtu for nw hauzngatiii fani yake ni bahat tu umpate mke bora...hasa km umemshiriksha mungu.THNGS DO CHANGE NWDAYS.
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  he he...chankyuu.....ninaongea na cm mammy...nikimaliza nitaamua niivue au niivae......kwani kuna mtu anaona?
   
Loading...