Kwa ambao hawajaoa, walimu ni wake wazuri...

rose natumia kimchina, ila nataka kukugongea seksi. Lakini naomba ipokee tu. Thanks 4 useful post. Mke mwema hutoka kwa bwana, na tabia unazozitaka kagua kwanza kama wewe unazo. Happy new year all.

thax2 ma braza.
 
acha kudanganya wenzako ..
..kanuni IYO ilikuwa zaman ..cz mwalimu alikuwa na sifa za ualimu lakin nw days apana nooooooooo ualimu umekuwa km oltenatv job vile ata km ukichek udsm mtu akipangiwa/akipata education ananuna na anahangaika kuchanmge coz sasa mtu km uyo atakuwa na maadili ya ualimu?

chek walimu wa UPE..je wale nao walimu by preofsional na maadili?je atakuwa ni sawa na mwalimu yule wa mwaka 1970-80?
walimu wa siku izi hawana maadili km zaman so usijiodanganye kuchukua mwalimu ukajigamba umepata mke bora ..
.....kwanza walimu wa siku izi kwa KUCHUKUA WAUME ZA WATU HAWAFAI+tabia zote mbaya anazo cz upeo umemuishia pale alikosa credt za kuendelea au alipata four kabisa.. so akaenda kusomea ualimu then wat do u xpect?...

... kanuni yako ilikuwa inatumika looooooong tym nt nw ma dear walimu na manes hawana maadili wala contet ya malezi ni sawa tu km umeoa muimbaji vile...amka chunguza then come bak

bora tu ujiolee MWANASHERIA,MWANASIASA UJUE BORA NA SIYO KUJIDANGANYA MWALIMU SJUI NES NI MKE BORA WATAKUNYONGEA WATOTO KIUHAI NA KIMAADILI PIA.
MKE BORA ANATOKA KWA BWANA..usijidanganye kabila ,fani i ,rangi i inabeba wake wazuri.

Rose unajua kukandia. Kwa hiyo walimu wote wamefeli masomo? Hakina umesomea ukandiaji. Sijasema wanawake walimu wote ni wanandoa wazuri, na sijasema kuwa wanawake wasio walimu wote si wanandoa wazuri. I am not stereotyping my dear. Wewe taaluma gani?
 
Yeah mamangu alikuwa mwalimu and she was a good wifee to my dad and a good mother to us all. Ila angalizo, baada ya miaka mitatu to mitano tutaanza kupata walimu walosomea shule zetu za yebo yebo, so tunaweza kuhisi ni walimu gani tutakuwa nao!

which shule is this........?
 
Happy New Year beb.....he he....mambo!!

Mambo safi, baby Preta, niambie mama, umesikia ee eti walimu wa dot com hawa, crushing program, yani rose anaongea yote yaliopo kwene akili yangu.
 
he he...chankyuu.....ninaongea na cm mammy...nikimaliza nitaamua niivue au niivae......kwani kuna mtu anaona?

Preta unaweza badilisha hiyo chupi uvae nyeupe?
Nina allergy na Chupi nyekundu bidada,
ukishindwa kabisa basi bora usivae
 
Preta unaweza badilisha hiyo chupi uvae nyeupe?
Nina allergy na Chupi nyekundu bidada,
ukishindwa kabisa basi bora usivae

hiyo ni soksi ....hakuna kyupi hapo...........
 
Rose unajua kukandia. Kwa hiyo walimu wote wamefeli masomo? Hakina umesomea ukandiaji. Sijasema wanawake walimu wote ni wanandoa wazuri, na sijasema kuwa wanawake wasio walimu wote si wanandoa wazuri. I am not stereotyping my dear. Wewe taaluma gani?
mi mwalimu daraja A.
wewe elewa mi sjakandia..nimeongelea weng wao walivyo na nimepnga dhana ambayo ilikwepo ata mimi niliiamin...ndo mana nkasema mke mzuri anatoka kwa bwana ...mke bora haina rang wala kabila any body can b mke bora thast includng walimu...sjataka generalization..usiniwekee maneno kinywani...hakuna kabila ,rangi,kimo fulan ni watu wazuri na wale ambao sio wa kabila,fan,rang iyo bas wabaya,hawafai si wazuri...generalization isnt ma formula go bak to ma post then digest softly u wl get wat m tryng to say bt nt KUKANDIA AS U SAID sipo ivo.
 
walimu awa wanaobaka wanafunzi?
walimu awa waliofanya ualimu km oltenatv job?
awa waliofel ndo wakaenda ualimu?
KM UKIZUNGUMZIA WALIMU WWA ZAMAN APO SAWA NAKUBALI..CZ WALIKUWA NA MAADILI YAO ..lakin si leo ambapo mtu kauza bar miaka kadhaa kachoka zake ndo anaenda ualimu do u thk atakuwa na contet za ualimu ili AWE MKE BORA?
KWA SASA NOOOOOOOOOOOOOO walimu wa zaman YEEEEEEEEES
nawasilisha.
kwa hilo rose umenena, hata mi nilishauriwa kua walimu wanafaa, nikajitahidi kupiganisha mpaka nikampata teacher mmoja. yaani sikuamini teacher alivyonambia anajisikia furaha kuliwa tigo, mara ya kwanza nilidhani ananitega ili nami niseme, baada ya muda nikaona huu use**e nikamwambia anipe. nilichokiona sikuamini macho yangu. so bro mke mwema anatoka kwa mungu.
 
Una maneno mazuri ila kiswahili chako kibovu kinanitia kinyaa kusoma. Jirekebishe

acha kudanganya wenzako ..
..kanuni IYO ilikuwa zaman ..cz mwalimu alikuwa na sifa za ualimu lakin nw days apana nooooooooo ualimu umekuwa km oltenatv job vile ata km ukichek udsm mtu akipangiwa/akipata education ananuna na anahangaika kuchanmge coz sasa mtu km uyo atakuwa na maadili ya ualimu?

chek walimu wa UPE..je wale nao walimu by preofsional na maadili?je atakuwa ni sawa na mwalimu yule wa mwaka 1970-80?
walimu wa siku izi hawana maadili km zaman so usijiodanganye kuchukua mwalimu ukajigamba umepata mke bora ..
.....kwanza walimu wa siku izi kwa KUCHUKUA WAUME ZA WATU HAWAFAI+tabia zote mbaya anazo cz upeo umemuishia pale alikosa credt za kuendelea au alipata four kabisa.. so akaenda kusomea ualimu then wat do u xpect?...

... kanuni yako ilikuwa inatumika looooooong tym nt nw ma dear walimu na manes hawana maadili wala contet ya malezi ni sawa tu km umeoa muimbaji vile...amka chunguza then come bak

bora tu ujiolee MWANASHERIA,MWANASIASA UJUE BORA NA SIYO KUJIDANGANYA MWALIMU SJUI NES NI MKE BORA WATAKUNYONGEA WATOTO KIUHAI NA KIMAADILI PIA.
MKE BORA ANATOKA KWA BWANA..usijidanganye kabila ,fani i ,rangi i inabeba wake wazuri.
 
IMEKAA KIMALEZ SKATAI..ILA AO WALIMU WANA MAADILI/WANAZINGATIA MAADILI KM IPAASAVYO? THATS MA CONCERN SLP ON
WA ZAMAN WALIKUWA WANAFATA MAADILI N THAST Y WALIKUWA WAMAMA BORA BT NW mmh mmh apana nagoooooooooooooooma nakataa..uzuri wa mtu for nw hauzngatiii fani yake ni bahat tu umpate mke bora...hasa km umemshiriksha mungu.THNGS DO CHANGE NWDAYS.

Lakini marais wengi wa Marekani walikuwa wanajeshi na wamesoma sheria. One's profession shapes him/her. Hata ukiwa hapo mlimani unapopasema, utajua huyu ni injinia, huyu ni mhasibu, n.k. Mke mwema anatoka kwa Bwana, sio ukamsake sokoni au baa.
 
kwa hilo rose umenena, hata mi nilishauriwa kua walimu wanafaa, nikajitahidi kupiganisha mpaka nikampata teacher mmoja. yaani sikuamini teacher alivyonambia anajisikia furaha kuliwa tigo, mara ya kwanza nilidhani ananitega ili nami niseme, baada ya muda nikaona huu use**e nikamwambia anipe. nilichokiona sikuamini macho yangu. so bro mke mwema anatoka kwa mungu.

Ina maana mwanamke anayetoa tigo hafai kuolewa? Au una maana watu walioko ndani ya ndoa huwa hawatafunani tigo?
 
Back
Top Bottom