Kwa ambae anataka kuhama kwenye nyumba za national housing naomba anishitue

Kwa ambae anataka kuhama kwenye nyumba za national housing naomba anishitue

hungary

Member
Joined
Jan 20, 2025
Posts
61
Reaction score
89
Habari wakuu ....
Mambo juu ya mambo 1 haikai mbili haikai ....
Kwa ambaye amejipata na alikuwa anaishi kwenye nyumba za national housing naomba unishitue ndugu yang nije nihamie
Maana nimeenda kwenye ofisin za NHC naambiwa nyumba zote Zina watu na watu awataki kuhama
Hvyo ww ambae umejipata na unataka kuhama naomba unishitue
Asanteni
 
Kiurahisi tu? Ungejua siasa za NHC na udalali wake unavyofanyika ungeshangaa sana km unaweza kupata kwa kuweka post tu JF
 
Hao wapangaji wengi wakihama huachia ndugu zao au marafiki,Lakini wengine hufikia kuuzia wapangaji wapya(yaani amekodi lakini anauza kwa mapangaji mwingine)

Ni kodi ndogo sana ama kuna unafuu gani kwenye hizo nyumba?
 
Weka location unayotaka maan hata tandika (Temeke) hizo Nyumba zipo japo zimechakaa ukihamia unafanya decorations ndani .

Maji na umeme plus usalama vipo 100%

Ukisema dar taja na location dar wapi
 
Back
Top Bottom