Kwa akili ya kawaida, watu wa maeneo ya Tandale, Temeke, Buza, Buguruni na Uswazi yooote wataweza kwenda Coco Beach kununua bidhaa?

Ahaaaa, naona unaleta jazba. WanaCcm mnamatatizo.
Mkuu Kamanda Asiyechoka, sio tunaleta jazba bali mambo mengine yanatia hasira, mfano kwenye hili la Coco Beach kubali tuu kuwa hujawahi kufika na ulikuwa hujui ni biashara gani inafanyika pale. Pale Coco Beach hakuna biashara ya bidhaa kusema wenzangu na mimi watakwenda kununua bidhaa au mahitaji, pale ni vibanda vya biashara moja tuu, makulaji ya vyakula, vitafunwa na mapochopocho only.
P
 
Sawa, makulaji na mapochopocho,lakini affordable kwa watu wa uswazi?
 
Bwana Paskali achana na huyu pompompo nahisi hata Dar hajawahi fika
 
Watanzania wanamtindio wa Ubongo..hatuna shukrani...hatuna kumbukumbu tunatoka wapi tunaenda wapi...laiti ingekua hali ilivyokuwa mwanzo hapo ungepongeza hapo kidogo kwa hicho kilichofanyika hapo bado ni pilot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…