jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,521
Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho
Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai
Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira
Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena