Kwa akili niliyonayo sasa kama ningepewa nafasi ya kuchagua pengine nisinge chagua dini yangu ukristo

Aliyekuambia nani mimi ni mchungaji🙄🙄🙄🙄 jina lako tu linaashiria wewe na din ni tofauti
Acha upumbavu wa dini, dini ni utumwa na utwana, ila hongera kwa kula sadaka, kila mbuzi ula urefu wa kamba yake.
 
Sasa hivi na akili zako kweli mtu utalazimishwa kutoa hela? Kama hautaki kutoa hela unakausha tu mbona wengine hapa hua hatutoi tunatoa zenye ulazima tu..unaweza kuta mstari mzima wa watu 8 wote wameenda mbele kutoa ila upo mwenyewe tu umebaki usiotoa na wala hakuna tabu yoyote ile
 
Sasa hivi na akili zako kweli mtu utalazimishwa kutoa hela? Kama hautaki kutoa hela unakausha tu mbona wengine hapa hua hatutoi tunatoa zenye ulazima tu..unaweza kuta mstari mzima wa watu 8 wote wameenda mbele kutoa ila upo mwenyewe tu umebaki usiotoa na wala hakuna tabu yoyote ile

Yani unabaki alone na umevunga ....na maisha yanaendelea
 
Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho

Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai


Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira


Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Hakuna anayechagua dini wakati wa kuzaliwa dini yako ni ile utakayoikuta kwa wazazi wako lakini kwa umri wako kulalamika juu ya dini wakati una nafasi ya kuchagua dini unayoona inafaa ni mojawapo ya maajabu niyowahi kuyasikia.
 
Ni shida sana yani hata mimi nimeona hilo mda wa mahubiri ni mchache sana hazizidi dakika 20 au 30 halafu mnakaa masaa matatu, mawili na nusu ni mambo mengi hayana tija kabisa.

Mfano sadaka 3 sijui sawa ningekua na uwezo zote zingetoka mara moja kupunguza mda wa kuzunguka na uwekwe kwenye maombi au mahubiri na mambo mengine mengi.
 
Kuna ukweli katika hoja yako Jokotinda jr, Ukristo unamisingi yake ambayo sasa hivi tunaona kabisa makanisa yamegeukia fedha balada ya ibada. Hakuna tatizo kutoa sadaka kama sadaka, tatizo linakuja pale kanisa linapoweka sadaka mbele badala ya ibada kwanza. Nafikiria hapo baadae, Mungu anaweza kuinua watumishi kama akina Martin Luther part two, ambao wataweza kurudisha kusudi la Mungu kwa Kanisa tofauti na hali iliyopo sasa.
 
Hakuna anayechagua dini wakati wa kuzaliwa dini yako ni ile utakayoikuta kwa wazazi wako lakini kwa umri wako kulalamika juu ya dini wakati una nafasi ya kuchagua dini unayoona inafaa ni mojawapo ya maajabu niyowahi kuyasikia.
Kuna mahali hujaelewa au hujapenda kuelewa
 
Back
Top Bottom