Kwa akili niliyonayo sasa kama ningepewa nafasi ya kuchagua pengine nisinge chagua dini yangu ukristo

Fikra hizi mnazoongeaga sijui mnatoaga wapi eti ukristo nu kufuata uzungu??!!!mi naona kama huna din kaa kimya kuliko uongee iliupate sifa kumbe unadharauliwa tu
Sawa mchungaji tumekuelewa, usiwaze wala nini, waumini wako hawatakukimbia wataendelea kukuletea sadaka ule wewe na familia yako.
 
Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho

Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai

Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira

Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Mzee, unaona ukristo ni mbaya kwa kuangalia yanayofanyika kanisani? Biblia ndo muongozo wa ukristo, unayoyazungumza yapo kinyume na biblia nawe pia umelitambua hilo ila bado unaona ukristo ndo haufai kiasi kwamba unatamani kuwa wa dini nyingine. Ongozwa na biblia sio na hayo makanisa ambayo kwa wazi kabisa yanaonekana ni ya kishetani.

Kwa mfano hapa nilipo kuna msichana mmoja amebadili dini ili aolewe na muislam, kuna siku nimekaa nae nikamuuliza sababu za kubadili dini akanipa sababu za kijinga sana nikamwambia tuushie hapo maana hata nikimweleza chochote hawezi kunielewa. Alisema,
• sikumpata mume wa kikristo
•waislam wanawake wanavaa kiheshima kuliko wa kikristo.

Tukaichambua kidogo hiyo point ya pili, nikamuuliza,
"Kwani biblia inafundisha wanawake wasivae kiheshima?"
Akajibu, "Kama inafundisha wavae kiheshima mbona wanavaa hovyo hadi makanisani inamaana hawaoni mafundisho ya kuvaa kistara?"
Nikamwambia,
"Biblia imefundisha wanawake namna ya kuvaa kiheshima ila kuna baadhi ambao wameamua kukaidi hilo"

...hiyo ni sawa na kusema Bible imefundisha watu wasiibe, sasa kiongozi wa kanisa akiiba sadaka haimaanishi ukristo unamruhusu kufanya hivo.

Usiache ukristo kwa kuangalia uovu wa wakristo, Soma mwenyewe biblia itakusaidia kuwa na imani thabiti.
 
Tatizo siyo kutoa mzee ....ivi ulisha wahi enda kanisani then pasta akasema wenye kuanzia 500k wapite mbele ....wenye kwanzia 100k...wasimame .....wenye kuanzia 50k wanyooshe mikono ..... hao ndo wananza kuombewa kwanza na kuwekewa mikono then wengine mlio baki ndo mnaombewa mkiwa hko hko kwenye mabench? .....tembea uone
Muulize huyo pasta mamlaka hayo kayatoa wapi.Biblia imeweka wazi jinsi sadaka zitolewaje na zitumike vipi.Inajua ujue sio KILA kanisa ni la Kristo.Kuna Makristo na Ukristo ni vitu viwili tofauti, Makristo ufuata mafundisho ya wanadamu.Je wajua kuna makanisa lakini ni mahekalu ya freemason? Siri wanajua wamiliki au waanzilishi wa hayo makanisa.
Kanisa la kweli haliendi kinyume na mafundisho ya Biblia.Jua kama kuna original na feki ipo? Kazi kwako kumtolea Mungu au kumtolea mwanadamu.
 
Mungu si masikini hadi achukue sadaka za wanadamu, wala hizo zinakokusanywa apelekewi Mungu. Kuna namna imeelezwa zaka, sadaka na michango itumikaje.
MICHANGO _ hii ni kwa kusudi la ufanikishaji wa jambo lolote linalohusu maendeleo ya kanisa mfano ujenzi, elimu, afya, mazingira, wakimbizi, na wahitaji mbalimbali.
SADAKA NA ZAKA -Ni maagizo ya Mungu hata kwa shetani Ili upate ni lzm utoe sadaka na zaka. Kazi ya sadaka ni kuhudumia kanisa mfano watumishi,kwa kawaida mtu aliyejitoa kuwa mtumishi wa Mungu atakiwi kufanya Kazi yeyeto ya kuzalisha inatakiwa muda mwingi awe akihudumia watu kiroho, na kufanya Kazi za kanisa, so anastahili kupewa hela Ili atimize mahitaji yake ya kijamii na ya kikanisa.
 
Ukimbie ukristo na kukimbilia dini ya kiislamu eti sababu ya kulazimishwa michango? usipotoa utafukuzwa kusali hilo Kanisa? naona kabisa shida inaanzia kwako huna msimamo....binafsi ukiacha zaka na sadaka ya ile ya madhabahuni wakati wa ibada hakuna mchango mwingine wa mchongo natoa na ukristo nitadumu nao hadi kufa full stop!!
Vipi michango ya mingine ya mfano ujenzi,kuona wahitaji ambao ni wafungwa, wagonjwa, wakimbizi,yatima na wajane utoi?
Kuna shirika la Kikristo na pia kuna shirika la kanisa katoliki linalohudumia wakimbizi duniani msipotoa pesa watapata wapi.
 
Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho

Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai

Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira

Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Sorry for being late.

One qtn to you complainer !

Unaenda Kanisani kufanya nini???

Ukinijibu swali hili ,ntakupa ushauri ambao utakusadia kuishi katika ulimweng huu uliojaa fake life .

Jibu................
 
Vipi michango ya mingine ya mfano ujenzi,kuona wahitaji ambao ni wafungwa, wagonjwa, wakimbizi,yatima na wajane utoi?
Kuna shirika la Kikristo na pia kuna shirika la kanisa katoliki linalohudumia wakimbizi duniani msipotoa pesa watapata wapi.
Sitoi!!
 
Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho

Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai

Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira

Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Kiukweli niko very dissapointed but i can't blame you.

Hili swala si la kishabiki,ni suala la maisha yako ya hapa duniani na maisha baada ya hapa.Usichukulie mzaha kwa sababu ya kufurahisha watu so that wakuone 'cool'.

Your arguemts alone shows that you dont know what is central to the Christian faith. You just wake up and go to church.

Take your time and learn.Hakuna kigumu just be sincere to God and He will teach you everything you need to learn.

And its never too late nobody is forcing anybody to belong to particular faith,at least not christians ayway. You can always choose how your life wants to be on earth and where to spend Eternity.

The choice is always there until its not.
 
Kwa halii hii hata mimi ningejutia kuwa kondoo.
Screenshot_20220426-095352.png
Screenshot_20220426-095110.png
 
Sawa mchungaji tumekuelewa, usiwaze wala nini, waumini wako hawatakukimbia wataendelea kukuletea sadaka ule wewe na familia yako.
Aliyekuambia nani mimi ni mchungaji🙄🙄🙄🙄 jina lako tu linaashiria wewe na din ni tofauti
 
Mzee, unaona ukristo ni mbaya kwa kuangalia yanayofanyika kanisani? Biblia ndo muongozo wa ukristo, unayoyazungumza yapo kinyume na biblia nawe pia umelitambua hilo ila bado unaona ukristo ndo haufai kiasi kwamba unatamani kuwa wa dini nyingine. Ongozwa na biblia sio na hayo makanisa ambayo kwa wazi kabisa yanaonekana ni ya kishetani.

Kwa mfano hapa nilipo kuna msichana mmoja amebadili dini ili aolewe na muislam, kuna siku nimekaa nae nikamuuliza sababu za kubadili dini akanipa sababu za kijinga sana nikamwambia tuushie hapo maana hata nikimweleza chochote hawezi kunielewa. Alisema,
• sikumpata mume wa kikristo
•waislam wanawake wanavaa kiheshima kuliko wa kikristo.

Tukaichambua kidogo hiyo point ya pili, nikamuuliza,
"Kwani biblia inafundisha wanawake wasivae kiheshima?"
Akajibu, "Kama inafundisha wavae kiheshima mbona wanavaa hovyo hadi makanisani inamaana hawaoni mafundisho ya kuvaa kistara?"
Nikamwambia,
"Biblia imefundisha wanawake namna ya kuvaa kiheshima ila kuna baadhi ambao wameamua kukaidi hilo"

...hiyo ni sawa na kusema Bible imefundisha watu wasiibe, sasa kiongozi wa kanisa akiiba sadaka haimaanishi ukristo unamruhusu kufanya hivo.

Usiache ukristo kwa kuangalia uovu wa wakristo, Soma mwenyewe biblia itakusaidia kuwa na imani thabiti.
Your so correct ila katiak hali yakibinadamu kiongozi wako akikosea nirahisi kondoo kupotea kwa maana misingi yetu imejengwa kupitia hao viongozi unapo pata akili ndipo imani inanza kujengeka nakukua hadi kufika hatua ya kuelewa zaidi
 
Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho

Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai

Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira

Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Nmeasoma jujuu ila nmekuelewa

Kuna mambo unatakiwa kujua juu ya utoaji
Kuna sili kubwa sana katka utoaji
Na sili aipo katk unachotoa

Sir ipo ndan ya Aman ya utoaji... unatakiwa uwe na brain fulani iv kuona na kuelewa iv vtu
...................
Ok point yang ya msing ni ..

Yakobo 1 : 12
Dini iliyosafi isiyo na NATAKA mbele Za MUNGU baba ni hii, kwenda kuwatizama yatima na wajane katika DHIKI ZAO na KUJILINDA na DUNIA .....

..............

Acha kuangaika sasa fuata din ya kwel hyo
Usipo elewa apo tena
Go and wash ur brain

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom