Kwa akili niliyonayo sasa kama ningepewa nafasi ya kuchagua pengine nisinge chagua dini yangu ukristo

Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho

Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai

Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira

Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Kwa hakika uliyoyasema ni kweli kuna changamoto nyingi kwenye dini zetu...

NINACHOKUSHAURI SIMAMA USIKU MWAMBIE MUNGU HAKIKA NATAMBUA UWEPO WAPO, NATAMBUA KUWA WEWE NI BWANA WANGU MLEZI UNAYENIPA PUMZI, RIZIKI NA MENGI MFANO WA HAYO... KWA HAKIKA HAPA NILIPO NIPO KWENYE KIZA NA KUTATIZIKA, NAOMBA NIONGOZE KATIKA NJIA YAKO YA SAWA SAWA NIKUJUE EE MUNGU WANGU ULIYE HAI MILELE NA USIYE NA MAPUNGUFU YOYOTE KATIKA UTENDAJI WAKO...

Do it with Pure and Honest heart, make it routine kwa muda mrefu kidogo....

Natumai Hawezi kukuacha Mola Mlezi... atakuongoza na kuutuliza moyo wangu....
 
Mbona mimi nimeachana na dini ukubwani? Tena nimekulia madhabahuni, Mzee wangu alikuwa askofu wa kanisa moja kubwa sana Tanzania na lina makau makuu huko Marekani.

Nipo njiani kubadilika jina langu niondokane na jina linaloshabihiana na Ukristo.
 
Tatizo so kutoa mzee nyumba ya ibada iwe sehenu ya ibada siyo mradi wa kutafta pesa mkuu
Sijui unaongea nini🙄🙄🙄 kwanini kama huna dini usikae kimya tu sio lazima uongee wewe huna imani kabisa halafu usipende kujadili ukristo kama unajiona huna imani, namshaka na age yako wewe eti sadaka 🙄🙄🙄🙄 na umasikini unachangia kwako pambana na hali yako ni bora ukae kimya tu kuliko matatizo yako uunyoshee ukristo??!! Umaskini unakusumbua wewe hamia din yenye unavyotaka uache ukristo pumbavuu zako
 
Mlokole mwenye kufahamu asili yangu , kazi ya dini za Kizungu na Kiarabu ni kuharibu kabisa utamaduni wa mtu mweusi ili tuendelee kuwa watumwa wa utamaduni wao milele na milele
Fikra hizi mnazoongeaga sijui mnatoaga wapi eti ukristo nu kufuata uzungu??!!!mi naona kama huna din kaa kimya kuliko uongee iliupate sifa kumbe unadharauliwa tu
 
Punguza makasiriko.iko wazi kua dini zote zinazoelekeza kuabudu mungu wa kisasa uku afrika zililetwa na wageni.na ukisoma vizuri hivyo vitabu vinavyohusu hizo dini utagundua kua Mungu hajawai kuumba dini yoyote.Dini hizi unazoziona ni uumbaji wa binadamu.
 
Ok wewe huna dini sasa kwanini ufosi na wengine waige kwako🙄🙄🙄🙄 nyie ndio huwa mnawapa tabu wazazi wenu mnapozikwa, watu wanajiuliza tumzikeje coz hakuwa na dini, viburi vya uzima wenu mnajiona mpo sana duniani, tambua wapo walioongea kama wewe walikufa vifo vya ghafra sana unajuaje wewe utamaliza mwaka kwa kiburi chako hiki, ok huna din but waambie wazazi wako mapema uzikweje au vp
 
Hupendi kuwa mkristo kwa sababu aliyeasisi Ukristo ana shida au hupendi kuwa mkristo kwa sababu waliopewa jukumu la kuueneza Ukristo wamekengeuka?

Kitu naona unafanya ni mtu anayechukia aina fulani ya gari au usafiri kwa sababu tu kuna dereva anayeendesha usafiri huo kwa fujo...
 
Kutoa ni ibada tena kwa waganga watu wanatoa Sana bila hata kulalamika
Tena huwa napata sana amani ya moyo nikitoa sadaka ila siyo za mchongo wala kushawishiwa .... sadaka safi niile unayo yoa kwa moyo wakupenda cyo kutengenezewa mazingira
 
Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho

Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai

Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira

Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Nenda kwenye futari au kwa zumaridi. Nani kakuzuia na wewe sasa ni mtu mzima?
 
Mkristo anayemjua Mungu alalamiki juu ya sadaka. Hakuna mafanikio bila utoaji.
Tatizo siyo kutoa mzee ....ivi ulisha wahi enda kanisani then pasta akasema wenye kuanzia 500k wapite mbele ....wenye kwanzia 100k...wasimame .....wenye kuanzia 50k wanyooshe mikono ..... hao ndo wananza kuombewa kwanza na kuwekewa mikono then wengine mlio baki ndo mnaombewa mkiwa hko hko kwenye mabench? .....tembea uone
 
Kwa hakika uliyoyasema ni kweli kuna changamoto nyingi kwenye dini zetu...

NINACHOKUSHAURI SIMAMA USIKU MWAMBIE MUNGU HAKIKA NATAMBUA UWEPO WAPO, NATAMBUA KUWA WEWE NI BWANA WANGU MLEZI UNAYENIPA PUMZI, RIZIKI NA MENGI MFANO WA HAYO... KWA HAKIKA HAPA NILIPO NIPO KWENYE KIZA NA KUTATIZIKA, NAOMBA NIONGOZE KATIKA NJIA YAKO YA SAWA SAWA NIKUJUE EE MUNGU WANGU ULIYE HAI MILELE NA USIYE NA MAPUNGUFU YOYOTE KATIKA UTENDAJI WAKO...

Do it with Pure and Honest heart, make it routine kwa muda mrefu kidogo....

Natumai Hawezi kukuacha Mola Mlezi... atakuongoza na kuutuliza moyo wangu....
AMEN I will do it ....thanx ghen
 
Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho

Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai

Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira

Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Ukimbie ukristo na kukimbilia dini ya kiislamu eti sababu ya kulazimishwa michango? usipotoa utafukuzwa kusali hilo Kanisa? naona kabisa shida inaanzia kwako huna msimamo....binafsi ukiacha zaka na sadaka ya ile ya madhabahuni wakati wa ibada hakuna mchango mwingine wa mchongo natoa na ukristo nitadumu nao hadi kufa full stop!!
 
Fikra hizi mnazoongeaga sijui mnatoaga wapi eti ukristo nu kufuata uzungu??!!!mi naona kama huna din kaa kimya kuliko uongee iliupate sifa kumbe unadharauliwa tu
Hata Yesu alidharauliwa, usiogope sana wqnadamu wanakuonaje, wakikudharau wewe endelea kusema mimi ni mfano wa Mungu
 
Back
Top Bottom