Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

Kama walikuwa wamezoea kufanya biashara kiujanja ujanja na kukwepa Kodi hayo ndio matokeo na madhara yake mkuu. Suala la msingi pia inabidi uelewe ya kwamba sekta ya ujenzi haiko vizuri kwa sasa. Sababu mafisadi yamesimamisha ujenzi na majizi yako chini ya ulinzi.

Kiukwel haya majibu ya kusema mambo yanadorora coz watu walizoea maisha ya ujanjanja siyo kwel.
 
kati ya posti zako zilizopita na mlengo wako wa leo siamini unachoandika! kumbe na wewe ni "msaliti" kama sie?? maajabu hayaishi Duniani
 
Hilo nalo sio big deal, ingekua ni kiwanda hapo sawa, duka tu hata vichochoroni yamejaa au kuna mtu kakosa cement na misumari ya kujengea?

Punguza ukoko ulijaa kichwani kwako,umeyasikia yanayotokea huko GGM Geita?Madiwani wa ccm wanaandamana na kufunga barabara wakishinikiza wapewe gawio lao ili watekeleze miradi ya maendeleo.GGM wameshindwa kutoa gawio kutokana na sakata la makinikia,kwa nini madiwani hao wakiongozwa na mbunge Msukuma wasiende kudai gawio hilo kwa yule aliyeyashikilia makinikia?

Baniani mbaya kiatu chake dawa!Makinikia yao muyashike halafu muandamane kudai gawio!Kama huoni athari za maamuzi ya mkurupukaji wenu waulize wakurugenzi wa Halmashauri zenye maeneo yenye migodi,wao ndiyo wanaojuwa wameathiriwa kiasi gani na ukurupukaji wa muuwaji wenu,bajeti za maendeleo za halmashauri zao sasa hazitekelezeki hata kwa jeki.
 
serikali sera zake sio makini, watendaji wa taasisi zake wanafunga tu biashara za watu hawajui walipoanza mpaka kufika hapo ,hawatoi elimu ya kutosha
ofisi moja vibali zaidi ya kumi TRA,NEMC,OSHA,LESENI,SERVICES LEVY,TIC,FIRE,LOCAL GOVT,BRELA,COSOTA,BARCODES,TFDA,TBS,CRB nk.......
Kwani OSHA waliwahi kumshughulikia nani?
 
Jakaya aliwahi kusema Bungeni ukitaka kula lazima uliwe watu tukajua ni utani na Masihara yake ya Kipwani pwani
JPM anataka kula bila kuliwa, tujipange kwa Zahmatu Minal balaa linalokuja

Kina Jakaya na Mkapa walifanya kazi kubwa sana ya kutangaza Taifa letu nje ya Nchi na kuondoa dhana mbaya ya Nyerere ya kupora pora Mali za Wawekezaji lakin Huyu Bwana Mkubwa ndani ya Miaka miwili kanajisi kazi yote nzuri ya Watangulizi wake anataka kulirudisha Taifa kule kule kwny Azimio la Arusha
Hii philosophy iko kila mahali duniani win win situation. Aiwezekan mwekezaj apate sawa naww lazima aingize zaid lakin naww upate pia.
 
Kiukwel haya majibu ya kusema mambo yanadorora coz watu walizoea maisha ya ujanjanja siyo kwel.
Ukweli ni upi mkuu!?
Wewe unafahamu ya kwamba kuna watu walikuwa wanaingiza 20ft container ambayo thamani ya mzigo ulio ndani kiuhalisia Kodi yake kwa mfano ilitakiwe ilipwe Tsh 22,000,000/- ...lakini wajanja hao walifanya manuva na ujanja huo mzigo unatoka kwa ushuru wa Tsh 6,000,000/-. Na bado anauza kwa faida kubwa sana. Au suala kama hili wewe unalizungumziaje?
 
Punguza ukoko ulijaa kichwani kwako,umeyasikia yanayotokea huko GGM Geita?Madiwani wa ccm wanaandamana na kufunga barabara wakishinikiza wapewe gawio lao ili watekeleze miradi ya maendeleo.GGM wameshindwa kutoa gawio kutokana na sakata la makinikia,kwa nini madiwani hao wakiongozwa na mbunge Msukuma wasiende kudai gawio hilo kwa yule aliyeyashikilia makinikia?

Baniani mbaya kiatu chake dawa!Makinikia yao muyashike halafu muandamane kudai gawio!Kama huoni athari za maamuzi ya mkurupukaji wenu waulize wakurugenzi wa Halmashauri zenye maeneo yenye migodi,wao ndiyo wanaojuwa wameathiriwa kiasi gani na ukurupukaji wa muuwaji wenu,bajeti za maendeleo za halmashauri zao sasa hazitekelezeki hata kwa jeki.
Wanachodai ni tokea early 2000s makinikia tumeyapiga stop hata mwaka bado, naona wewe ndio ukwangue ukoko.
 
Jakaya aliwahi kusema Bungeni ukitaka kula lazima uliwe watu tukajua ni utani na Masihara yake ya Kipwani pwani
JPM anataka kula bila kuliwa, tujipange kwa Zahmatu Minal balaa linalokuja

Kina Jakaya na Mkapa walifanya kazi kubwa sana ya kutangaza Taifa letu nje ya Nchi na kuondoa dhana mbaya ya Nyerere ya kupora pora Mali za Wawekezaji lakin Huyu Bwana Mkubwa ndani ya Miaka miwili kanajisi kazi yote nzuri ya Watangulizi wake anataka kulirudisha Taifa kule kule kwny Azimio la Arusha

Hatari sana !!!
 
Nimepata habari "wamepigwa" vibaya tokea NEMC hadi kodi za ajabu ajabu.
Nyie endeleeni na nyimbo zisizo na mashiko, wenye kwao wanasepa!
Mkuu umenena.. sisi wa hapa ndio tutanyooshwa kisawasawa.
Mola atunusuru
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd. Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P
Mkuu Pascal naona una hamu ya kupelekwa ununio ukazawadiwe SMG
 
Mh raisi anafanya kazi kubwa mno wanyonyaji wameanza kukimbia tumechoka kuibiwa na wageni nchi yetu n tajiri
Kama bado uko kwenye huo mrengo jitathimini. Ila muda utaongea
 
Hilo nalo sio big deal, ingekua ni kiwanda hapo sawa, duka tu hata vichochoroni yamejaa au kuna mtu kakosa cement na misumari ya kujengea?
Hakuna aliyekosa vifaa ila kuna watu wamekosa kazi na kipato. Najua hao watakuja kwako uwatunze pale uzuri. Wewe ni taita.
 
Tanzania: Not a place to invest in Africa

By. Juergen T Steinmetz

September 18, 2017

C) most, if not all, sectors are reporting a massive reduction in turnover and profits. Dealers in building supplies (a good indicator of growth) are reporting business as halved!

Unataka kukimbia na hauna breki???????????????????????????????????????????????
Nduki kubwaaaaa!!! 140 kwenye kona
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd. Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P
Ndio karama aliyopewa na mungu nani amfungue macho naye ayaone hayo wote wanamuogopa
 
Kama walikuwa wamezoea kufanya biashara kiujanja ujanja na kukwepa Kodi hayo ndio matokeo na madhara yake mkuu. Suala la msingi pia inabidi uelewe ya kwamba sekta ya ujenzi haiko vizuri kwa sasa. Sababu mafisadi yamesimamisha ujenzi na majizi yako chini ya ulinzi.
Kina nani haya majizi yaliyoko chini ya ulinzi? Kama unafikiri waliokuwa wanatumia vifaa vya ujenzi ni majizi, basi watanzania wote ni wezi!!! Linganisha nyumba unamoishi wewe mwenyewe ni kipato ambacho mwenye nyumba alikuwa anapata. Kama mambo ni mabaya, tuseme ukweli tu, watu hata wa hali ya chini wanashindwa kumudu gharama za ujenzi ndugu, nao hao walizoea kupiga hela? Wakati mwingine tufikirie kwa vichwa vyetu na siyo mioyo yetu yenye mapenzi na kitu fulani!!!! Uchumi unayumba ndugu!!!!!!
 
Hata ile supermarket kubwa ya wachina iliyopo maeneo ya Mikocheni iliyokuwa inauza vyombo vya ndani naona na wao wamebwaga manyanga washaanza kufungasha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom