Haya yote yanatokea kwasababu katiba inamruhusu.kama katiba ya Tanzania hatabadishwa itakuwa kila inaekuja anafanya anavyotaka...,Katiba mpya ni muhimu sana kwa nchi yetu,katiba ndio uti wa mgongo wa nchi....
Tatizo sio Katiba tupunguze Visingizio
Waliotangulia Mbona waliweza kwa Katiba hii hii?
Kama mnalalamika anavunja Katiba kwani hiyo Mpya asingeivunja?
Kenya Wana Katiba Mpya Rushwa imeisha?, Wizi wa kura umeisha, Tatizo la Ajira limeisha?
Usiruhusu kichwa chako kugeuzwa fuko la hoja za Wanasiasa
Kabla ya Uhuru Wazee wetu pia walikuwa wakijihadaa kila Tatizo wanadhani solution yake ni uhuru