Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Bonobo chimp katika ubora wako.Kumbe ulimwengu wooote wako unerejerea Dar? Pole miye ni wa mkoani, na huku hali yetu ya maisha ni mbaya sana. My take nadhani unaishi kwenye udhanifu wa theories za uchumi na hauko realistic. Toka Dar uje mikoani uone tulivyochoka,hatuwezi kumudu bati la eflu 12, hiyo inflation unaelezea ya wakati gani mkuu? Weee ndiye unaishi in the world of fiction. Shangilia kwa kuwa maisha yako sasa ni nora kuliko ya jana ilipokuwepo mijizi! Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.