Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
acheni kupotosha watu,kuna watu innocent kabisa now hawana kazi,kampuni ngapi za clearing and forwarding zimefungwa banadrini ambazo walalhoi ndio walikuwa wanapata ugali wao wa kila siku,watumishi wenye vyeti na majina''feki'' wengi wameondolewa na hakuna wapya walioajiliwa ku replace idadi ya walioondolewa,kuficha dhambi zenu mnawaita majizi,time will tellKama walikuwa wamezoea kufanya biashara kiujanja ujanja na kukwepa Kodi hayo ndio matokeo na madhara yake mkuu. Suala la msingi pia inabidi uelewe ya kwamba sekta ya ujenzi haiko vizuri kwa sasa. Sababu mafisadi yamesimamisha ujenzi na majizi yako chini ya ulinzi.
There is so much to come(disasters)