tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,318
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.
Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.
Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?
Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?
Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!