Hata waliokua na mawazo ya collectiveness yaani Ujamaa walishindwa. Lakini matajiri watusaidie kukomesha absolute poverty.Matajiri hawawezi kuwepo bila ya kuwepo maskini jinsi ilivyo mwangaza hauwezi kutambulika bila ya kuwepo giza.
Mwanamume asingeweza kujulikana bila ya kuwepo mwanamke.
Umaskini na utajiri ni sehemu ya maisha na wangapi tutakuwa matajiri??--- nani atamuajiri mwenzake na tajiri gani anaweza kuishi bila maskini??
I want to help the needy.Yuo must have enjoyed the dropping ride.
I want to help the needy.
That's not my speciality.I'm in need of a woman to marry, Could you please help me.
ManzeseKunguru wa wapi??
Hapana hapa mtoa mada anamanisha Ile Hali ya mtu kuwa na uwezo wa kupata basic needs like nyumba nzur ya kuishi,mavazi mazuri na chakula Bora .hiyo n haki ya binadam kuipata.Yan Kama binadam uliekamlika lazima uwe na uwezo wa kupata hyo mahitaji.Matajiri hawawezi kuwepo bila ya kuwepo maskini jinsi ilivyo mwangaza hauwezi kutambulika bila ya kuwepo giza.
Mwanamume asingeweza kujulikana bila ya kuwepo mwanamke.
Umaskini na utajiri ni sehemu ya maisha na wangapi tutakuwa matajiri??--- nani atamuajiri mwenzake na tajiri gani anaweza kuishi bila maskini??