Kuwepo au Kutokuwepo; wote wapo

Kuwepo au Kutokuwepo; wote wapo

Atakuwa anazungumzia uwepo wa Mungu naona.

Mwambie dereva apunguze sauti.[emoji3][emoji3]
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mazingira niliyopo hapa huu uzi ni wa kusoma kesho labda [emoji23][emoji23][emoji23]
Sihitaji mambo magumu hivi

Jaribu kusoma tena labda unaweza kupata kitu...tunashindwaje wote aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
'ulipo tupo yaani kwa kuwa tuko ndani yako nawe ndani yetu basi popote utakapoenda au kuwepo na sisi tutakuwa tupo!!

Haya mambo ya kifalsafa yanaweza kufanya mtu asielewe kilichoandikwa hapa!
 
Kwahiyo waliopita wapo, sisi tupo na wajao wapo!
Wote tupo tupo sana!
Na wao wapo hapahapa Duniani Au?
 
Kama hayupo basi alikuwepo.haiwezekani asiwepo kama hakuwepo.
 
Mkorea, hapo ulipo sasa, huyo ambae alikuwepo nae alipata kuwapo hapo. Kwasababu yeye aliyekuwepo alikuwepo hapo ulipo ndiyo maana na wewe upo hapo. Kumbe basi, aliyekuwepo kabla yako haiwezekani asiwepo wakati wako. Hii ni kwa sababu bila ya uwepo wake kwanza hakuna uwepo wako baadae.

Reincarnation..hadi pale utapo amka usingizini
 
Huyu aliyepo hii leo ndiye asiye kuwepo badae na asiye kuwepo ndiye aliyepo. Hiki unachokiona leo siyo hicho walichokiona waliokuwepo, lakini ndiyo hicho kilichopo, ambacho kila aliyekuwepo, anayekuwepo na atakaye kuwepo anacho.

Wewe upo kwasababu wao walikuwepo na kwasababu walikuwepo na wewe upo na hivyo wote mpo.

Ukisema kwa sababu walikuwepo hivyo hawapo sasa maana yake na wewe haukuwepo na haupo sasa. Kama unasema walikuwepo, lakini sasa hawapo maana yake wewe pia hukuwepo ndiyo sababu unaona hawapo.

Ukiwa mwanadamu tayari umekuwepo na hivyo haiwezekani kwamba hautakuwepo.

Mtu aliyepo anawezaje kusema hayupo angali yupo? Vivyohivyo kwa aliyekuwepo atawezaje kutokuwepo? Aliyekuwepo ndiye aliyepo nae atakuwepo. Vivyohivyo kwa aliyepo ndiye yupo na atakuwepo.

Kama huyo hayupo maana yake na wewe haupo, lakini kama wewe upo na yeye yupo. Unawezaje kusema, yeye hayupo, lakini wewe upo?

Kama mtu huzaliwa na aliye kuwepo na yeye huyo anaezaliwa huwapo nae akisha kuwapo huzaa atakae kuwepo. Sasa ni nani kati hawa anaeweza kudai huyu hayupo?

Hivyo hakuna awezae kuwepo kama aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo hajaweza kuwepo na hivyo aliyekuwepo yupo, atakuwepo na kwasababu yupo nasi tupo.
Wewe ni katika wale wanaofanya mpaka Bangi inaonekana ina madhara na kuishia kupigwa vita. Bila watu kama nyinyi Bangi ingekua kama Sigara tu.
 
Huyu aliyepo hii leo ndiye asiye kuwepo badae na asiye kuwepo ndiye aliyepo. Hiki unachokiona leo siyo hicho walichokiona waliokuwepo, lakini ndiyo hicho kilichopo, ambacho kila aliyekuwepo, anayekuwepo na atakaye kuwepo anacho.

Wewe upo kwasababu wao walikuwepo na kwasababu walikuwepo na wewe upo na hivyo wote mpo.

Ukisema kwa sababu walikuwepo hivyo hawapo sasa maana yake na wewe haukuwepo na haupo sasa. Kama unasema walikuwepo, lakini sasa hawapo maana yake wewe pia hukuwepo ndiyo sababu unaona hawapo.

Ukiwa mwanadamu tayari umekuwepo na hivyo haiwezekani kwamba hautakuwepo.

Mtu aliyepo anawezaje kusema hayupo angali yupo? Vivyohivyo kwa aliyekuwepo atawezaje kutokuwepo? Aliyekuwepo ndiye aliyepo nae atakuwepo. Vivyohivyo kwa aliyepo ndiye yupo na atakuwepo.

Kama huyo hayupo maana yake na wewe haupo, lakini kama wewe upo na yeye yupo. Unawezaje kusema, yeye hayupo, lakini wewe upo?

Kama mtu huzaliwa na aliye kuwepo na yeye huyo anaezaliwa huwapo nae akisha kuwapo huzaa atakae kuwepo. Sasa ni nani kati hawa anaeweza kudai huyu hayupo?

Hivyo hakuna awezae kuwepo kama aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo hajaweza kuwepo na hivyo aliyekuwepo yupo, atakuwepo na kwasababu yupo nasi tupo.
Kama mtu huzaliwa na aliye kuwepo na yeye huyo anaezaliwa huwapo nae akisha kuwapo huzaa atakae kuwepo. Sasa ni nani kati hawa anaeweza kudai huyu hayupo?

Hivyo hakuna awezae kuwepo kama aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo hajaweza kuwepo na hivyo aliyekuwepo yupo, atakuwepo na kwasababu yupo nasi tupo. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
nimesoma 6 times sijaelewa mtoa mada embu toa hint ya hii puzzle.

La sivyo saa nne kamili nachoma jani nameditate nakuja na lugha nyepesi ya fumbo lako.
Existence na kinyume chake... Kama hakipo hakipo na hakiwezi kutajwa popote.... Kama kipo tambua kina asili yake... Hakuna kisichopo bila asili... Bila mzizi... Bila msingi
 
Hivyo hakuna awezae kuwepo kama aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo hajaweza kuwepo na hivyo aliyekuwepo yupo, atakuwepo na kwasababu yupo nasi tupo.
emoji848.png
emoji848.png
emoji848.png
emoji848.png
emoji848.png
emoji115.png
emoji115.png
emoji115.png
emoji115.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
Umeandika vyema sana.
Kufafanua maana ya nilichoandika. Kwanza kwa mtazamo wa kisayansi.
Kisayansi kila mtu aliezaliwa anarithi asilimia 50 ya chembechembe za mwili (DNA) kutoka kwa wazazi wake: watangulizi wake.
Hii maana yake ni kwamba, watoto hufanana kwa namna mbili na wazazi au watangulizi wao.
Kwanza,ni kwa namna ya maumbile: mwili. Ukitazama watoto na kisha ukatazama watangulizi wao (wazazi) utaona na kugundua wanafanana kimwili: maumbo na viungo.
Pili, ni kwa namna ya mwenendo au tabia na matendo. Wachunguze watoto, haiwezekani wakafanya matendo ambayo wazazi au watangulizi wao hawakuyafanya. Kwa mfano kama watangulizi (wazazi) walikuwa walevi, washerati, washirikina, wezi, wapole, wema au wachangamufu, watapatikana watoto wenye tabia hizo.
Kwa sababu hii (DNA) hatuoni waliokuwepo hawapo, tunao na wanaendelea kuwepo.
 
[emoji109][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom