Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

Uyo Jamaa tuesabu miez mitatu tu alafu leta izo picha tuone alivyo baki skeleton [emoji102] chezea mashine NNE tata
Dada yangu mbona kuna wazinzi wanabadilisha kama nguo kwa week wasichana 14 lakini wapo sawa tu.Huyu atapanga zamu na pia ana option ya kutotenda baadh ya siku.
 
IMG-20160529-WA0022.jpg
 
Wenye wake zaidi ya mmoja dawa yenu IPO jikoni inachemka.
Naandaa mswada bungeni ili muanze kuwalipia kodi.nimegundua hiki ni chanzo kizuri cha mapato.
Ntamshauri prezda magu awamulike wenye wake zaid ya mmoja hapa bongo ili akusanye kodi kwa kila mke aanze na 25000. Kwa mwaka. Kama unao 4@25000 unatoa 100000.
Nadhani idadi ya Wanaomiliki wake zaidi ya mmoja itapungua ili michepuko ipungue.
 
Anatafuta Kiki
Unaju Dunia imebadilika sana,sasa ukiona jambo fulani litakupa kiki basi unaibuka.

Kwanza Ndoa ni faragha,sasa hapo naona ilikuwa ni Uzushi mtupuu kwenye mazingira hayo
Mapicha na upuuzi mwingine wote aliofanya hapo ni Kharam
 
Si kufaidi ni kufa huko.
Mmoja tu ni tatizo sasa wanne ni 4 pressures.Tumpe pole sana.
 
Mimi naona kama MUME na WAKE watapata shida:
1. atawezaje kuwaridhisha wote kimapenzi?
2. inawezekanaje wote kupendwa sana na wakaelewana? familia nyingi za baba mmoja zinatawaliwa na chuki na uhasama wa chinichini kwa sababu ya wivu na kutokuelewana. mmoja ataona mwingine kapendelewa na kisha atanuna.
3. labda faraja ya wote ni kuwa dini yao inaruhusu Talaka pale hali itakapojuwa mbaya.
mwanamke kama haridhiki haridhiki na hyo ujue ni tabia polygam haikuanza leo na ukithubutu utafanikiwa
 
Maziwa ya ngamia yanafaida nyingi ila yana harufu flani ......arusha yko sana yanatoka bomangombe kila cku lita wanauza 6000
harufu kitu gani mkuu?,weka choklet ama vanilla syrup ,harufu kwisha.

Jamaa ndo kaingia kwenye record,uzuri wa wanawake hilo kwao si tatizo kushare mme,ila mwanaume kushare mwanamke panachimbika
 
Ukiwa legelege hata ww mwenywe utajishindwa unaweza kudhibiti wake wa nne bila shaka tatizo ukimchukulia mke kuwa ndio kichwa cha familia instead of you ndio madhara yake utayaona m proud of having them two na inshallah soon I'll find the third one Tena mwenye Maini ya kutosha nifaidi dunia hii alahmdulillah
Wenzetu wa ijumaa kazi mnayo, mke mmoja tu hapa bongo anakupa stress kibao..mke wa pili,tatu,NNE.. Duh hataree..
.......lazima upate stress, maana kila kitu ndo huyo huyo, akipata malaria sijui unakojoa wapi ?
 
Back
Top Bottom