Hizo rangi acha tu ni ugonjwa wangu tosha... Ila kuzihudumia ndiyo yakupasa ujipange kisawasawaUmeona eeh kuna watu huwa wanaziponda midomoni tu, moyoni wanawaza wazipate wapi, namuwazia huyo jamaa mahari zake na hiyo harusi, hapa bongo unaanzisha kampuni nzima ya Transport na Scania za mtumba kama 8 hivi au 10
Mkuu hile n nchi ya kiislamu wanafata misingi ya dini,ukichepuka unakula nondo za kutosha.Wenzetu wa ijumaa kazi mnayo, mke mmoja tu hapa bongo anakupa stress kibao..mke wa pili,tatu,NNE.. Duh hataree..
Hiyo avatar yako ya kiboya, inazinguaAisee
We ndo unazingua kiainaHiyo avatar yako ya kiboya, inazingua
Hongera Na kila la Heri.!Ukiwa legelege hata ww mwenywe utajishindwa unaweza kudhibiti wake wa nne bila shaka tatizo ukimchukulia mke kuwa ndio kichwa cha familia instead of you ndio madhara yake utayaona m proud of having them two na inshallah soon I'll find the third one Tena mwenye Maini ya kutosha nifaidi dunia hii alahmdulillah