Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
....Sio dini ndio imeruhusu, bali ni Mwenyezi Mungu.Uzuri dini yake inaruhusu na hao wanawake wenyewe wanaonyesha kufurahia ndoa yao
'.........oeni katika mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne. ......na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi (oa) mmoja tu.
Qur'an: 4:3.