Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

Bwana mmoja huko Kuwait ameamua kuoa wake wanne kwa mpigo ili kumdhihirishia mtalaka wake kuwa bado yupo "sokoni".
9a188ce9a0a99cc6ec9df55a7e8a46bf.jpg

Inasemekana mke wa jamaa huyo alimtishia mumewe kuwa hawezi pata mke wa kuoa zaidi yake baada ya kuachana.Jamaa akaamua kufanya kweli na kupiga "free kiki hadi nyavuni"
 
Kuwaiti guy, 28yrs old, married 4 wives in one wedding after his ex dared him if he could find one woman to marry him!

In a measure to show his ex-girlfriend that he could do “better”, a 28-year-old man from Kuwaiti married four wives in one wedding.

Images:
View attachment 359823
View attachment 359831
View attachment 359832
View attachment 359833

Video:

Hao ndio wanaume wa kweli bhana,sio kuchezewa na kuringishiwa papuchi utafikiri ni ATM,yaani wamenikumbusha kwetu Kyabakari kwa mama Robi na mama Bhoke,yaani tunaowa mpaka wanawake 26 wa kutupikia UCHI(UJI) na kichuri.
 
Hopefully ana ngamia wakutosha.
Kuna documentary moja niliona, was very fascinating. Inadai ya kwamba maziwa ya ngamia inaongeza nguvu za kiume pamoja na kutibu magonjwa mengine.
Hiyo ni kweli tupu,.
 
yaaan ha
Kuwaiti guy, 28yrs old, married 4 wives in one wedding after his ex dared him if he could find one woman to marry him!

In a measure to show his ex-girlfriend that he could do “better”, a 28-year-old man from Kuwaiti married four wives in one wedding.

Images:
View attachment 359823
View attachment 359831
View attachment 359832
View attachment 359833

Video:

po ni kufaidi mautamu tuuuuuuuuuuuuu...............uzuri ni kwamba kila uchi una laza yake...sasa ebu fikiri mtu una choice ya kula vyakula vinne kwa siku???hutakufa kwa stress maana una watu wanne wote kwa ajili yako............leo utanusa kikwapa cha hadija...kesho unalalia paja la mariamu..keshokutwa unashika hipsi la mwanaisha maisha hayaaaaaaaaaaaaaa
 
Anaonekana pochi imenona vizuri na akaunti zinasoma multiple digits
 
yaaan ha

po ni kufaidi mautamu tuuuuuuuuuuuuu...............uzuri ni kwamba kila uchi una laza yake...sasa ebu fikiri mtu una choice ya kula vyakula vinne kwa siku???hutakufa kwa stress maana una watu wanne wote kwa ajili yako............leo utanusa kikwapa cha hadija...kesho unalalia paja la mariamu..keshokutwa unashika hipsi la mwanaisha maisha hayaaaaaaaaaaaaaa
Umenichekesha sanaaaa. Allah Akbarrrrrrrrrr
 
Nmeipenda hii, kuna mabibie ukiamua utulie umuoneshe mapenzi ya dhati anavimba kichwa na kujihisi kakuweka kwenye chupa na huwezi kufanya lolote basi ni full vituko. Anasahau we ni mwanaume.
 
Ukiwa legelege hata ww mwenywe utajishindwa unaweza kudhibiti wake wa nne bila shaka tatizo ukimchukulia mke kuwa ndio kichwa cha familia instead of you ndio madhara yake utayaona m proud of having them two na inshallah soon I'll find the third one Tena mwenye Maini ya kutosha nifaidi dunia hii alahmdulillah
Mimi naona kama MUME na WAKE watapata shida:
1. atawezaje kuwaridhisha wote kimapenzi?
2. inawezekanaje wote kupendwa sana na wakaelewana? familia nyingi za baba mmoja zinatawaliwa na chuki na uhasama wa chinichini kwa sababu ya wivu na kutokuelewana. mmoja ataona mwingine kapendelewa na kisha atanuna.
3. labda faraja ya wote ni kuwa dini yao inaruhusu Talaka pale hali itakapojuwa mbaya.
 
mbele ya hela! wote hao watakaa na watatulia na mume wao![emoji28] na wote watamuita baby kama kawa!
 
Back
Top Bottom