Kuwachokoza CHADEMA na za maji taka labda utajuta maisha yako yoote mzee Wasira!!

Ndugu zangu wa damu msishangae wasira kuropoka!huyo hana akili hata kidogo....kwanini nasema hivyo!alishawahi kuwa na akili zake kama jinsi ninji mlivyo na akili enu...aliwahi kuwa mpinzani na akashinda ubunge....warioba kamng'oa na akarudi ccm tangu hapo akawa zuzu la kutetea ujinga na hata leo ccm wanamtumia kama sanamu...yeye na mwigulu ni masanamu na mwisho wa siku watakuja kujuta kama nape ambaye leo anajaribu kuvua usanamu hawezi...shame on that ape wasira......
 

Wassira?


images
images


Kaazi kweli kweli!
 
Hawa Chadema wawe makini sana ...tayari mkakati wa ccm wa IGunga unaendelea ...kwa kutumia genge la wahuni 200 waliosafirishwa toka Mara....vijana Hawa Wana silaha....bastola,mapanga,visu ,sime ,bisbisi ,acid etc...

LENGo...

1.kuchoma moto nyumba za wenyeji ambao ni wana ccm na kusingiZia ni Chadema.
2.kuteka na kupora wana ccm ionekane ni Chadema
3.kurushia mawe magari ya ccm wenzao na kusingiZia Chadema
4.kuteka watu na kuwauwa...ie Hawa kule IGunga waliua zaidi ya watu 15..-ambao baada ya uchaguzi Maiti za watu walopotea ziliendelea kuonekana.
5.kumwagia watu tindikali zionekane ni Chadema
6.kufanya vurugu wakati matokeo ya awali yanaanZa kutoka ili ccm wapate Mwanya wakuite ffu .....warushe mabomu,ffu watakuja wakiwa na mabox tayari na wakati watu wanajifunika na moshi wa mabomu wao watabadili matokeo...

NINI Kifanyike?

Chadema wahubiri Amani mikutanoni..
Wawasisitize vijana wao kuwa makini na watu wanaowachikoza au wanaovaaa Sare Zao sio wote ni Chadema ...wengine wapo kundi la "al shabaab"
Wakazi wawe makini na wahamiaji ambao wapo kwenye kundi hii wanaosambazwa vijijini mwao........kwa kuwa wa wanafahamiana,itakuwa rahisi kutambua wageni miongoni mwao Wenye nia mbaya ...

Onyo kwa Dola...

Hatua ya ccm Kukodi mercenaries ni dalili mbaya .....Kama iliyokuwa ikifanywa na KAnu kuwakodi Mungiki....ni dalili za mwisho za chama kinachokufa...ie kutumia mamluki,kutumia siasa za majitaka...,kutumia dola ..etc..,....Hatua hizi hazitakuwa na faida kwa ccm zaidi zitaaharakisha kifo......kuna tofauti kubwa ua uelewa kati ya Arumeru na IGunga.......ccm wasitegemee propaganda ,vijarida...,mauwaji ,tindikali ...zitawasaidia kupata ushindi.....sanasana hata wakiwavika wafanya vurugu Sare za Chadema ....tayari wananchi wameshagundua .....na utafiti wa kiiteligensia unaonyesha wananchi wanawafuatilia kwa karibu sana ....Hawa mamluki...,wakazi wa Arumeru wana ushirikiano wa kipekee nje ya chama ......msishangae mkaamka asubuhi mkakuta Hao mamluki 200 wote wamechinjwa na mapanga na wameru ......kwani hii Siri imeshaliki hata kwa wananchi wa kawaida....na Hao wamekuwa common enemy wa kuwachonganisha wameru ....nao hawataki kuuliwa Kama Wana IGunga .

Watu wa usalama wa Taifa ingilieni haraka kusaidia Hawa mamluki warudi makwao haraka......WAmeru watawachinja........na IKULU ITABEBA LAWAMA......KWANI HII TAARIFA KWA SASA INAFUATILIWA HADI NA VUOMBO VYA NJE NCHI....HAO MAMLUKI KILA WAMESHAWEKEWA SURVEILLANCE YA KITAALAMU KABISA NA KILA MWENENDO WAO ...UNADAKWA NA KUREKODIWA .....NA MUDA SI MREFU WATAZINGIRWA..NA MAAFA YATAKUWA MAKUBWA SANA....NA HII INAWEZA KUSABABISHA WAKUU WA USALAMA ,POLISI NA HATA RAIS WETU APELEKWE THE HAGUE ..SIKU AKITOKA MADARAKANI...

CHUKUENI TAHADHARI......! Anaepata ujumbe huu ..Amuambie na mwenzake....!!! Amani ya nchi yetu ,na umoja wetu Kama taifa ni muhimu kuliko tamaa ya ccm kushinda Arumeru!!!!! Wekeni tu uwanja sawa na haki .mshindi wa jimbo la Arumeru ...hatakuwa RAIS WA JAMHURI,!
 
Back
Top Bottom