Kuwachokoza CHADEMA na za maji taka labda utajuta maisha yako yoote mzee Wasira!!

Sidhani kama Wassira ana hoja, je wewe angekuwa Wassira babu yako ungejisikiaje? uBabu na pumba ni vitu viwili tofauti, babu kachemka kwelikweli.
 
Inaonekana wasirra amewashika CDM pabaya sana , ukisoma thread zote Leo humu jf Wanamaker CDM wanalalamika na kulia lia km watoto. Kaza buti wasirra ulipowashika ndipo hapo hapo wala hujakosea

Mimi mwenyewe nashangaa jamaa wa CDM wamecharuka kwa matusi mazito mazito kwa Wasira lakini hawasemi amewafanya nini...wangekuwa wanajibu hoja tungepata mwanga kujua hata wanacholalamikia.
 
Sidhani kama Wassira ana hoja, je wewe angekuwa Wassira babu yako ungejisikiaje? uBabu na pumba ni vitu viwili tofauti, babu kachemka kwelikweli.


Pole mzee Kasimba G, amezungumzia lipi kuwafanya wana CDM mcharuke hivi kama mbogo...maana thread nzima mnarusha makombola tu...poleni sana!
 
Nina hisi CCM wamemtuma Wasira ajitoe muhanga ili yale mambo kuhusu Mkapa yasahaulike kuponya chama.Wameona ni bora Wasira akabili mashambulizi dhidi yake huku Mkapa akisahauliwa na yake ambayo ni tishio kwa Chama. CCM ina mbinu nyingi
 
Alafu yakisemwa mazito kumuhusu yeye utamsikia Tendwa anaingilia kati na hoja ya kujenga chuki kwenye jamii.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.

Mkuu hii line unaitumia ila mimi binafsi naona kama vile haijakaa vizuri. Nafikiri ungebadilisha MAITI na kuweka kitu kingine. Watu wengi maiti (hapa namaanisha mwanadamu aliyepoteza uhai) ni kitu cha kuheshimiwa sana maana kila nafsi itaonja mauti na wengi wetu tuna wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki we still miss them and give them same respect kama ambavyo walivyokuwa hai, kuwafananisha na watu wanaoisapoti CCM sidhani kama inaleta mantiki hasa kama dhamira yako ni kuonesha NEGATIVITY. Ni ushauri tu mkuu.
 
Inaonekana wasirra amewashika CDM pabaya sana , ukisoma thread zote Leo humu jf Wanamaker CDM wanalalamika na kulia lia km watoto. Kaza buti wasirra ulipowashika ndipo hapo hapo wala hujakosea

Wasira kapumulia masaburi nashangaa unashabikia pumzi ya masaburi subiri majibu hapa hapa
 
Mimi mwenyewe nashangaa jamaa wa CDM wamecharuka kwa matusi mazito mazito kwa Wasira lakini hawasemi amewafanya nini...wangekuwa wanajibu hoja tungepata mwanga kujua hata wanacholalamikia.

Amepora mke wa mtu na kusababisha kifo cha huyo bwana (Ndege). Kwa mantiki hiyo kateleza wake zake wa halali, na alipotaka kumtolea mahari mke wa marehemu aliyemsababishia kifo katolewa nje. Ukitaka kujua HUO SASA NDIO UPORAJI WA MKE WA MTU HADI KUSABABISHA KIFO CHAKE.
 
Wassira anategemea ndumba kwa survival ya kisiasa. Sasa amekufa sheih Yahaya mganga wake ngoja tuone
 
Wassira(2).jpg


wassira.jpg


TR+8.JPG


HAPA ANACHEKA
waziri%2Bshukuru%2Bkawambwa%2B%28kulia%29%2Bakipongezana%2Bna%2Bwaziri%2Bstephen%2Bwassira.JPG


IMG_0643.jpg

2011-6-24-4-34-27_m1.jpg


Hendisam boi wewe, acheni kejeli..
 
Baada ya Wasira kuanza siasa za maji taka mwisho wa siku zitamrudia mwenyewe kwa kuwa siasa za majitaka huwa zinabackfire! Sasa kwa emortions unaweza ukaanza,lakini siku zote zilizobaki duniani utabaki unajuta na kujilaumu.

Ukubwa siyo kukomaa sura, ila ni pamoja na hekima! Nadhani Wasira na wenzie wamekosa hekima ya uongozi, lakini majuto ni mjukuu, ukianza siasa hizo hata mambo uliyoyafanya na ukasahau utakumbushwa na unaweza kuidhalilisha familia yako, kama mtu zima laazima utafakari jambo kabla hujafanya au kama si hivyo uwe tayari kwa lolote.

Je Wasira uko tayari kwa lolote? Nadhani jibu ni ndio , ndio maana umelianza hili, ila usije ukafa kwa pressure!!! pole kwa kuanzisha kitu kigumu mzee Wasira.

Nawasilisha.


Unataka tuamini kuwa chadema ni mabingwa wa matusi na kutumia lugha chafu? kwa sababu wasira katukana basi chadema ndio bora kwa matusi? Hii si sifa nzuri kujigamba kwenye mashindano ya kutumia lugha chafu.
 
Maji taka kuna uzushi ndani yake na umbea ambao ndio haswa unaweza kuumiza familia sasa nani alijua kumbe jamaa kapora mke, ni mkoma e.t.c.
 
Ni kweli lizee limezeeka ni bora lipumzike tu maana hata macho ya lenyewe hayaoni hata kakifaranga.Bunda kazi munayo.
 
Maji taka kuna uzushi ndani yake na umbea ambao ndio haswa unaweza kuumiza familia sasa nani alijua kumbe jamaa kapora mke, ni mkoma e.t.c.
 
Hakuna ukweli wowote.Dr Slaa ameacha upadri mwenyewe kwa kufuata taratibu zilizopo katika kanisa katoliki.I am a catholic and i know this.Procedures zote amezifuata na wala hakufukuzwa.Aliaminiwa sana na TEC hadi kupewa wadhifa huo wa katibu wa TEC.Suala la upadri au uana ndoa ni wito ambao ni namna mtu anataka kuishi maisha yake,ni uhusianpo wake na Mungu.Ukiamua kwa ari yako kutoka kwenye upadri ni ruksa.

Dr Slaa sio mnafiki,kuna watu wengi wanaishi kwenye upadri lakini wanavunja taratibu.Yeye ameamua kuwa wazi na kuamua kutoka.

Sio mnafiki wakati anakaa na hawara na anamwita "mke" kutudanganya Watanzania tuamini uongo na hata talaka ya kwanza huyo mwanamke hajapewa. Unafik upi zaidi ya huo?

Kama hajafukuzwa upadri kama usemavyo wewe basi Slaa amshtaki Wasira mahakamani kwa kumchafulia jina. Tuone ukweli uko wapi, lakini mpaka sasa tunachukulia kafukuzwa kwani maadili yake yanajionesha.
 
Mbona sijaona matusi, hata mimi sientertain matusi ila ninachomuonea huruma huyo babu ni jinsi siri zake zitakapowekwa kwenye TV
 
Nasikia atakuja kufunga kampeni za udiwani Kirumba jijini Mwanza...Tuta mutega na maswali ya kizushi...Akianza kuporomosha matusi tu...tunampopoa mawe.
 
Dr Keshamjibu leo pale "Kwa Pole" katika mkutano wa kampeni.

Kauliza "Wassira mbona toka hiyo siku ya wizi mpaka leo hawajamkamata(Dr.Slaa), na wao ndio wenye dola?...
 
Back
Top Bottom